Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

Alaaa kumbe wewe wa Kusini. Pole sana kusini kuilinganisha na kanda kuu ni sawa na kulinganisha ziwa victorua na ziwa jipe
 
Sina tatizo na nshomile Mara mimi consern yangu ni Mwanza,Shinyanga,Simiyu na Geita
 
Hiyo 41% ya kigoma ni sawasawa na - 0.0000001 ya Mwanza.

Kumbuka Kigoma nzima ni sawasawa na mtaa mmoja wa MWANZA

Kumbuka methali ya kiha isemayo

" Eee bhana KIGOMA NI MUJI ILA MWANZA NI CHIBOKO " MWANZA NI KABAMBE
 
Hivi wewe unafikiri SGR inajengwa kwa ajili ya nchi jirani tu??!! Mbona hujaelezea mizigo ya ndani ya nchi upande wa Kanda ya Ziwa??
Well said kabisa,kwani tunajenga kuhudumia nje ya mipaka tuu.Kuna hata mazo kama Pamba, Denge yatasombwa na reli hiyo poa
 
Sina tatizo na nshomile Mara mimi consern yangu ni Mwanza,Shinyanga,Simiyu na Geita
Si bure itakuwa walikutatua marinda [emoji1][emoji1],
Na hao Mara na Kagera wanasalute kwa Rocky city, na Mwanza ndo city lao.
 
Niliwahi kusema hili. Kipande cha mwanza-isaka ilikuwa ni kukosa maono, labda kama sababu za mradi sehemu hii ni upendeleo au siasa!! Ile kutaka kufurahisa jimbo kubwa la kiuchaguzi!!! Tungepanua bandari ya Kigoma na kuweka reli huko! Tena tungekuwa na akili SGR ingefika Dodoma na kisha kwenda Zambia tukaachana na Dodoma Kigali! Mizigo ya Zambia, DRC ni zaidi sana kuliko ya Rwanda Burundi!!

Sio mizigo ya Uganda ikipita mwanza!!
 
Zambia mizigo yao inapita Tazara mkuu. Ukipata nafasi ya kuchangia Toa mchango wenye tija.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…