Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Naunga mkono hoja,
Elewa kuwa huwezi kubalika na wote hata tukianza wachache watakaoona umuhimu watafuata.
Endelea kuangalia wangapi wamekubaliana nawazo lako kisha tupange tarehe na wakati wakukutana na mahali gani.
nihilo tu kwaleo.
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja?

Safi sana.
 
I concur with your inputs 100%
 
Last edited by a moderator:
Ni wazo zuri, Villa Park kwa muda huo ninavyopafahamu ni vurugu. Ila its a good point to start with.

Unajua majumuiko mengi huwa yanaishia njiani kwa sababu ya kuyarasimisha. Other wise it can be a. good starting point.
 
Naunga mkono hoja,
Elewa kuwa huwezi kubalika na wote hata tukianza wachache watakaoona umuhimu watafuata.
Endelea kuangalia wangapi wamekubaliana nawazo lako kisha tupange tarehe na wakati wakukutana na mahali gani.
nihilo tu kwaleo.

Asante kwa kuniunga mkono,

Umoja huu sio wa lazima bali ni hiyari. Kwa wale tuliopo Rock City tuorganise kisha tukutane, watakaokuja sawa na wasiotaka kuja pia sawa. Kwa wale watakaoona ni Unafiki, Ujinga , kupotezeana muda yote heri.

Ila naiona mifano mingi kwa Arusha Wing, wameweza na wanadumisha umoja wao. Wanaweza kutusaidia katika kuanzisha umoja wetu. Arusha Wing tupeni muongozo jamani

Karibuni sana.

Nakala kwa PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone na wengineo...
 
Last edited by a moderator:
Mbona mi ujani copy

Last edited by a moderator:
Dahh umekuwa fastjet anasema acheni wivu wa kike,ama masaburi ? Unamaanisha wivu upi?

Wacha wivu wewe, mie nimewakopy Arusha Wing kwaajili ya kutupatia muongozo... Je wewe upo Arusha Wing???
 
Gharama zitakazo ambatana na kujua JF kwa ID na kwa uhalisia wetu...ni kubwa sana...labda kwa kuwa JF siku hizi si tishio kwa habari tanzania...back then....wala wazo hili lisinge waingia kabisa...kucha na meno yangu...kuishi kibogoyo sio option kwa sasa...kila la heri... Rock City na wengineo wengi.....kijificha mpaka kieleweke...
 
Last edited by a moderator:
what for? Wewe ingia changia mada ukiwa na tatizo sema usaidiwe.

Hawa watu hawana kazi za kufanya. Hivi viumoja kama kile cha Arusha ndio vinaharibu mijadala hapa JF inakuwa sio spontaneous. Wanakutana vijiweni wanakuja hapa kuleta maazimio ya vikao vya vijiweni badala ya kujadili mada spontaneously.
Inakuwa kama Bungeni wabunge wanavyotetea sera za vyama vyao.
 
Haya bana....

Ni mawazo yako pia, asante kwa mchango wako.

Karibu tena...
 
Last edited by a moderator:
Hiyo imekaa vema sana wala usiwe shaka,wanaosema ni unafiki bila hata kuuona umoja wenyewe ni waoga! Uoga wa kuogopa vivuli vyao,tubadilike jamani maendeleo ni watu si mtu! So 'm happy wth th idea!
 
Hiyo imekaa vema sana wala usiwe shaka,wanaosema ni unafiki bila hata kuuona umoja wenyewe ni waoga! Uoga wa kuogopa vivuli vyao,tubadilike jamani maendeleo ni watu si mtu! So 'm happy wth th idea!

Sure, let's keep it up!
 
Mimi nina wasiwasi na meno na kucha zetu maana kwa style hii tutakutana na members wa TISS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…