Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Japo hujanitaja, naunga mkono hoja, tujulishane lini na wapi pa kumeet

Samahani mkuu, mie nimetaja member ambao nawafahamu make wanaRock City ni wataalamu wa kujificha aisee.... Kumbe nawe upo Jijini Mza???
 
Niko rcity mpendwa,, tujulishane tu mambo yatakapokuwa tayari, sasa na hii mvua villa park panaendeka kweli leo?
Samahani mkuu, mie
nimetaja member ambao nawafahamu make wanaRock City ni wataalamu wa
kujificha aisee.... Kumbe nawe upo Jijini Mza???
 
Niko rcity mpendwa,, tujulishane tu mambo yatakapokuwa tayari, sasa na hii mvua villa park panaendeka kweli leo?

Hata sijui mkuu.... Hatujapanga kwenda huko ila mambo yatakapo kuwa tayari tutawajulisheni ni lini na wapi tukutane. Pia ni vyema ikawa wakati wa jioni kabla ya saa 3 usiku make wengine huenda wakashindwa kuhudhuria sababu ya muda.
 
JF Rock City tupo wengi sana tu, ila wengi ni waoga sana kukutana.

Kuna wanaosema kuonana ni "Unafiki" n.k. Kwani Wing zingine huwa wanafanyaje na sie tushindwe? Kumekuwa na Umoja na Mshikamano miongoni mwa member waliokutana mpaka wana Wenyeviti na Makatibu Mf. JF Arusha Wing, je wao wanakabiliana vipi na huo unafiki? Je wanashindwa kukosoana wanapokosea ndani ya JF?

Wanaosema hakuna tija kufahamiana... Hamkuona kilichofanyika JF Arusha Wing kwa kwenda kutoa mkono wa pole kwa Dada yetu KOKUTONA? Wale tulioshiriki kwa namna moja ama nyingine tuliweza kutambua umuhimu wa JF na dada zetu kama Madame B, Smile, KOKUTONA na wengine wanaufahamu umuhimu wa JF.. wanaweza kuwa mashahidi hapa.

Hakuna haja ya kufahamiana kwa majina halisi labda ikitokea nikakutana na wewe Rock City kisha nikatambua kuwa wewe ndiye Boss wangu potelea mbali, ila tutambuana kwa ID zetu za JF.

Katika party iliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu "White Party" kuna watu waliohudhuria kwa kuficha ID zao. Kama hutotaka kujulikana unaweza kuficha ID yako. Si lazima tukufahamu kwa ID yako kama hutotaka.

Ni mawazo yangu....

All i can say charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni muhimu sana.

Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana tu

JF FOREVER
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kokutona kwa ushuhuda, hope hata sisi tutafanikiwa kuanzisha jf rock city wing
All i can say
charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi
umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana
iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni
muhimu sana.

Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata
tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye
mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na
wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona
kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na
tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana
tu

JF FOREVER
 
Last edited by a moderator:
All i can say charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni muhimu sana.

Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana tu

JF FOREVER

Asante sana mamie kwa kuwathibitishia hilo....

Wanafikiri ni uongo ama kutaka kujulikana tu, sisi wachache tutaanzisha na nina imani tutasonga mbele mpaka watashangaa.

JF ni zaidi ya tunavyoifikiria.....
 
Ahsante sana kwa ushuhuda huu mzuri na wenye mashiko. Nakumbuka nikiwa Dar, Max aliniletea tshrts mbili za JF na ninazo huwa nazitinga, tukiwa na umoja wetu tutaweza hata kufanya mambo mengi sana nje ya ulingo. Tusiogope TISS, hatuvunji sheria za nchi wakuu wangu.

Ahsante kwa ushuhuda & aluta..!
 
Kwa pamoja, TUNAWEZA.
 
Hata sijui mkuu.... Hatujapanga kwenda huko ila mambo yatakapo kuwa tayari tutawajulisheni ni lini na wapi tukutane. Pia ni vyema ikawa wakati wa jioni kabla ya saa 3 usiku make wengine huenda wakashindwa kuhudhuria sababu ya muda.

Nakumbuka Dar wakati tunaanzisha JE Saccos tulikuwa tukikutana nyakati za 1600hrs-1800hrs (japo tulikuwa wachelewaji sana), na kikao cha kwanza kwa Dar kilifanyika Kijitonyama (steers) na cha pili kilikuwa Mikocheni (jina kapuni, maana ilikuwa ni ofisi ya member mwenzetu).

Hivyo, kwa kuzingatia rika tofauti...tungejaribu hizo timings.

Kwa Dar ilikuwa ni siku za weekends (Jumamosi).

Tusonge mbele wakuu...
 
Ahsante sana kwa ushuhuda huu mzuri na wenye mashiko. Nakumbuka nikiwa Dar, Max aliniletea tshrts mbili za JF na ninazo huwa nazitinga, tukiwa na umoja wetu tutaweza hata kufanya mambo mengi sana nje ya ulingo. Tusiogope TISS, hatuvunji sheria za nchi wakuu wangu.

Ahsante kwa ushuhuda & aluta..!

Kumi ilianza na moja.

Trust me anzeni nyie mlioamua the automatically others will follow.

I am praying for you
 
I support you 100%. Wakutane ili iweje? Huo ni umbea tu! Be aware, hilo ni wazo la UWT!

Mkuu,
Hapa ni hiari, sisi wakazi wa jiji hili tunaona umuhimu wa JF kutuunganisha. Mbona Dar mara nyingi tu wanakutana na ndipo HQ za TISS zilipo? Sisi tulikutana pale steers Kikitonyama jirani ya makumbusho tena tukiwa na founder wa JF Maxence Melo, ambapo pale ni jirani mno na TISS Barracks zao pale Kijitonyama. Hatukusaliti, hatukusalitiwa. Iwaje TISS iingilie kaumoja ketu haka?
 
Chit Chat haina shida. Hata TISS ikiwafahamu wote wa chit chat haidhuru. Ishu ipo kwa wanasiasa wanaoikosoa serikali. Ungepeleka wazo chit chat utawapata wengi.
 
Kwa upande wangu naliona hilo ni wazo zuri members tukiwa tunakutana mara moja kwa mwaka, bila ya kujitambulisha majina yetu ila kwa sura tu na pia tunaweza tukapeana namba za simu lkn majina ukasave unavyopenda mwenyewe . Hope kwamba sio kila unaweza ukakiweka open hapa wakati mwingine unakuwa na vitu vizito unataka wacjue kila mtu ukampigia one of member ukamuomba ushauri.
Shukran
 
Angalizo:Nikiisha mjua yule njemba aliyenisababishia ban lazima nimng'oe meno kwa kichapo, tena ninahisi yupo mwanza ole wake akijitokeza
 
All i can say charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni muhimu sana.

Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana tu

JF FOREVER

nipo tanga miezi 6. sijui kama kuna huo umoja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom