Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Thanks,
We'll keep you all updated juu ya lini/wapi tutakutana, waila itakuwa ni next weekend. Tutawajulisha.
usinisahau mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks,
We'll keep you all updated juu ya lini/wapi tutakutana, waila itakuwa ni next weekend. Tutawajulisha.
Naunga Mkono wazo hili naomba kujulishwa sehemu,siku na mdaa wa kikao tujumuike pamoja asanteni kwa mawazo mazuri Kama hayaThanks,
We'll keep you all updated juu ya lini/wapi tutakutana, waila itakuwa ni next weekend. Tutawajulisha.
Wakuu kabisa,
Heshima mbele.
Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing).
Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa kuwa JF inazidi kupata umaarufu katika tasnia ya kupashana habari motomoto zisizolala, kwa kuwa kundi kubwa la jamii yenye uelewa na usomi kujivinjari na JF kila kukicha, na kwa kuwa jiji la Mwanza ni kubwa na wadau wengi wanaingia na kutoka...ni busara sana sasa sisi wakazi wa jiji hili kuunda kaumoja ketu (japo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo) hiyo haijalishi.
Waheshimiwa sana wa Rock City na ng'ambo, naomba kutoa hoja.

Acheni uoga nyie, hebu kutaneni...kwani lazima watu wajue ID yako...kama vipi fungua ID nyingine ndio uitumie kwenye Umoja.
Eti mnaogopa TISS, kumbe yale mnayoandika kule Siasa ni unafiki eenh...
Mornie Daddy,
Punguza ukali w maneno daddy yangu...
Mummy measkron :lying: umemfanyaje daddy mbona kaja kwa kasi huku kakunja ndita lolest!!!!!!!!!!!!!!!! :shut-mouth:
Umoja huo wa JF Rocky city umeishaundwa au bado?
Kwa ujumla huku mi huwa sipatembelei sana; zaidi zaidi nashindwa kwenye siasa na mambo ya mahusiano. Ndo leo nimeona hii mada. Nakubaliana na hoja na kama mambo yameishaanza naomba kujulishwa kwa njia ya PM au hata hapa hapa sebuleni. Ni wazo zuri.
charminglady nawatakia kila la heriNdio mkui... mi nipo Mwanza na ni mwenyeji over 10 year thou sio mzaliwa.
Tutakujuza pasi na shaka.
Karibu
Í see . . .