CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Japo hujanitaja, naunga mkono hoja, tujulishane lini na wapi pa kumeet
Samahani mkuu, mie
nimetaja member ambao nawafahamu make wanaRock City ni wataalamu wa
kujificha aisee.... Kumbe nawe upo Jijini Mza???
Niko rcity mpendwa,, tujulishane tu mambo yatakapokuwa tayari, sasa na hii mvua villa park panaendeka kweli leo?
JF Rock City tupo wengi sana tu, ila wengi ni waoga sana kukutana.
Kuna wanaosema kuonana ni "Unafiki" n.k. Kwani Wing zingine huwa wanafanyaje na sie tushindwe? Kumekuwa na Umoja na Mshikamano miongoni mwa member waliokutana mpaka wana Wenyeviti na Makatibu Mf. JF Arusha Wing, je wao wanakabiliana vipi na huo unafiki? Je wanashindwa kukosoana wanapokosea ndani ya JF?
Wanaosema hakuna tija kufahamiana... Hamkuona kilichofanyika JF Arusha Wing kwa kwenda kutoa mkono wa pole kwa Dada yetu KOKUTONA? Wale tulioshiriki kwa namna moja ama nyingine tuliweza kutambua umuhimu wa JF na dada zetu kama Madame B, Smile, KOKUTONA na wengine wanaufahamu umuhimu wa JF.. wanaweza kuwa mashahidi hapa.
Hakuna haja ya kufahamiana kwa majina halisi labda ikitokea nikakutana na wewe Rock City kisha nikatambua kuwa wewe ndiye Boss wangu potelea mbali, ila tutambuana kwa ID zetu za JF.
Katika party iliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu "White Party" kuna watu waliohudhuria kwa kuficha ID zao. Kama hutotaka kujulikana unaweza kuficha ID yako. Si lazima tukufahamu kwa ID yako kama hutotaka.
Ni mawazo yangu....
Mi nipo.....anytime my sweet lotion
All i can say
charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi
umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana
iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni
muhimu sana.
Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata
tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye
mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na
wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona
kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na
tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana
tu
JF FOREVER
All i can say charminglady ni kuunga mkono hoja yenu. Mimi umuhumu wa JF na umuhimu wa kuwa na umoja, na hata umuhimu wa kujuana iwe kwa ID au kwa uhalisia nimeuona. Hata kuwa na marafiki JF tu ni muhimu sana.
Apart from kumshangaa Mungu jinsi JF members walivyojitoa nilipopata tatizo hili, bado nimeshasaidiwa mengi sana na JF members humu kwenye mambo ya kiofisi hasa kwenye ofisi za watu hizi zenye urasimu mkubwa na wengine hadi leo sijawah kuwatia machoni.
Sisi Tanga tulianzisha wa kwetu kwa influence ya Arushawing, tuliona kuna umuhimu huo. Tuko wachache sana lakini tuna umoja wa ajabu na tumeshikamana sana sana. Na tunaanini as the day goes tutaongezeka sana tu

Hata sijui mkuu.... Hatujapanga kwenda huko ila mambo yatakapo kuwa tayari tutawajulisheni ni lini na wapi tukutane. Pia ni vyema ikawa wakati wa jioni kabla ya saa 3 usiku make wengine huenda wakashindwa kuhudhuria sababu ya muda.
TISS@work!
Ahsante sana kwa ushuhuda huu mzuri na wenye mashiko. Nakumbuka nikiwa Dar, Max aliniletea tshrts mbili za JF na ninazo huwa nazitinga, tukiwa na umoja wetu tutaweza hata kufanya mambo mengi sana nje ya ulingo. Tusiogope TISS, hatuvunji sheria za nchi wakuu wangu.
Ahsante kwa ushuhuda & aluta..!
I support you 100%. Wakutane ili iweje? Huo ni umbea tu! Be aware, hilo ni wazo la UWT!