Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu.
ukianza hutoacha.
 
Acheni uoga nyie, hebu kutaneni...kwani lazima watu wajue ID yako...kama vipi fungua ID nyingine ndio uitumie kwenye Umoja.
Eti mnaogopa TISS, kumbe yale mnayoandika kule Siasa ni unafiki eenh...
 
good idea, nijulishe
 
Acheni uoga nyie, hebu kutaneni...kwani lazima watu wajue ID yako...kama vipi fungua ID nyingine ndio uitumie kwenye Umoja.
Eti mnaogopa TISS, kumbe yale mnayoandika kule Siasa ni unafiki eenh...

Mornie Daddy,

Punguza ukali w maneno daddy yangu...
Mummy measkron :lying: umemfanyaje daddy mbona kaja kwa kasi huku kakunja ndita lolest!!!!!!!!!!!!!!!! :shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
Morning Daughter!!!
Mbona hakuna ukali wowote, nimejitahidi kuwa straight pasipo kuuma maneno.
Watu wana uoga ambao wanaweza kuutafutia ufumbuzi kwa kuwa si lazima sana kujua majina halisi ya watu.

Mornie Daddy,

Punguza ukali w maneno daddy yangu...
Mummy measkron :lying: umemfanyaje daddy mbona kaja kwa kasi huku kakunja ndita lolest!!!!!!!!!!!!!!!! :shut-mouth:
 
Umoja huo wa JF Rocky city umeishaundwa au bado?
Kwa ujumla huku mi huwa sipatembelei sana; zaidi zaidi nashindwa kwenye siasa na mambo ya mahusiano. Ndo leo nimeona hii mada. Nakubaliana na hoja na kama mambo yameishaanza naomba kujulishwa kwa njia ya PM au hata hapa hapa sebuleni. Ni wazo zuri.
 
Bado haujaanza mkuu, tukianza tutakujulisheni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…