Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Mie niko huku village nalima Mpunga kwa wingi mkikonfirm mtaniambia nije na magunia ya mpunga kabisa ..kazi na dawa
Ila naogopa nisjekutana na mdingi wangu siku yenyewe ..
 
mkuu, tulijuana JF tutaachana JF habari za kutaka kuchoreshana hizi sasa sio kabisa!!!!!!!!
 
Umoja huo utakuwa na madhumuni yapi?
Uongozi wa umoja huo utakuwa katika mfumo upi?
Wazo zuri sana ila nahisi ni mbinu za jamaa flani kutaka kuubana uhuru wetu wa kupashana habari.
 
Mkianzisha huo umoja na mie mnijuze, naishi Ilemela kata ya Buswelu
 
tupo pamoja sana, leteni tu muhongozo bampa 2 bampa
 
Watu wnaozunguka lile ziwa wamekaa kikabila kabila tu! Ndio nini sasa...Hii J.F ni ya Tanzania nzima,nendeni mkatafutane kwenu huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…