ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 235
Tupo pamoja tunasubili kikao chetu hicho kwa hamu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja tunasubili kikao chetu hicho kwa hamu sana
Mie niko huku village nalima Mpunga kwa wingi mkikonfirm mtaniambia nije na magunia ya mpunga kabisa ..kazi na dawa
Ila naogopa nisjekutana na mdingi wangu siku yenyewe ..
mkuu, tulijuana JF tutaachana JF habari za kutaka kuchoreshana hizi sasa sio kabisa!!!!!!!!Wakuu kabisa,
Heshima mbele.
Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini yaani (JF Mwanza wing) au (JF Rock City wing).
Kwa kuwa ongezeko hili la wadau linazidi kukua, kwa kuwa JF inazidi kupata umaarufu katika tasnia ya kupashana habari motomoto zisizolala, kwa kuwa kundi kubwa la jamii yenye uelewa na usomi kujivinjari na JF kila kukicha, na kwa kuwa jiji la Mwanza ni kubwa na wadau wengi wanaingia na kutoka...ni busara sana sasa sisi wakazi wa jiji hili kuunda kaumoja ketu (japo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo) hiyo haijalishi.
Waheshimiwa sana wa Rock City na ng'ambo, naomba kutoa hoja.
Umoja huo utakuwa na madhumuni yapi?Wakuu kabisa,

tupo pamoja sana, leteni tu muhongozo bampa 2 bampaWakuu kabisa,