Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

Haya mambo ya umoja maranyingi mnaishia kwenye ngono. Tumia jf kama ilivyo kwani yenyewe ni umoja tosha
 
Tatizo la kujuana ni unafiki,mkishajuana watu hawawezi kumkosoa mtu
'
"Shoga" yako au "Msela" wako akisema jambo huwezi kumkosoa hapa
'
Hapa Mwanza JF siku hizi ina wanachama wengi kidogo
'
Lakini sijui kama kufahamiana kuna tija!

Kwa hiyo inabidi waende kidijitali? ha haaa yaani wanakua na virtual rock city where no one knows anyone.
 
Muende kwa tahadhari maana huku sio wote ni wema,msije mkaanza kulialia mmetupwa mabwepande
 
charminglady, ni vizuri sana kama JF ingeenda mbali zaidi kusaidia jamii husika ya eneo flani, kama tunavyoona Arusha wing, Dar wing an hili wazo la Rock City wing, tatizo JF inawatu wengi wa kila aina huwezi jua nani ni nani, binafsi ikitokea ishu ya kuonana ana kwa ana, basi naishia hapo.

Unaweza ishia kutoa ushahidi au kupoteza viungo kama vile kucha meno n.k
 
Last edited by a moderator:
Count Me in guys. Mwanza nina yapata mwezi n dzain ntaweka base if.
 
Wadau kibao hapa mwz awajaipata iyo idea vizuri rejea tena kwa msisitizo,mie nipo nyamanoro
 
Napendekeza tukionana tutambuane kwa majina haya tunayotumia humu jf, kwa mfano mimi ntapenda nitambulike Skype na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom