Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la kujuana ni unafiki,mkishajuana watu hawawezi kumkosoa mtu
'
"Shoga" yako au "Msela" wako akisema jambo huwezi kumkosoa hapa
'
Hapa Mwanza JF siku hizi ina wanachama wengi kidogo
'
Lakini sijui kama kufahamiana kuna tija!
Nipo Igoma
Tutakujuza chochote kitakachoendelea mkuu.....
charminglady hivi hujui mkiamua na mkawa serious hakuna linaloshindikana.Tutakujuza chochote kitakachoendelea mkuu.....
Bado haujaanza mkuu, tukianza tutakujulisheni....
Suala hili inabidi tulipangie mda; isije ikaishia kwenye screen.
Mornie Daddy,
Punguza ukali w maneno daddy yangu...
Mummy measkron :lying: umemfanyaje daddy mbona kaja kwa kasi huku kakunja ndita lolest!!!!!!!!!!!!!!!! :shut-mouth: