CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Uchafuzi wa serikali za mitaa mwaka huu utakuwa mkubwa kuliko ule wa 2019 na mwakani 2025 hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi ya 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni shetanu. Haitakuja ibadilike. Nchi imelaanika kwa sababu inaongozwa na chama shetani.Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka watu 688 hadi 860
Pia, Soma:
==> Karatu: Kijana Jasiri aibua Kashfa, Msimamizi wa kituo aondoka na daftari la wapiga kura ajaza majina kivyake!
==> Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!
==> Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Halafu Mchengerwa mkwe wa Rais anasema hakuna dosari zozote, inahitaji akili ya mwendawazimu kutetea uhuni huu unaofanywa na CCM mchana kweupe.Hahaa muandikishaji amebanwa maswali hana la kujibu
Wana penda kujiandikisha lakini hata wakiwachagua viongozi wanao wataka matokeo huwa kinyume chakeInamaana wananchi wamechoka kujiandikisha au vip?
Mkuu, ulipotea humu; karibu sana. Hiyo taasisi imechoka sana lakini haijitambui kama imechoka. Hata Simba akizeeka, Simba vijana humtaka aiachie eneo lao kwa kulilinda, na kama atapuuza ushauri wao wana mtwanga na kumfukuzilia mbali.Aibu kwa CCM
Kesi itamgeukia yeyeHalafu huyo Mwananchi muda sio mrefu atakamatwa na Mapolisi.
Vyama hivi kushiriki hizi chaguzi wamekosea sanaUchafuzi wa serikali za mitaa mwaka huu utakuwa mkubwa kuliko ule wa 2019 na mwakani 2025 hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi ya 2020.
Inamaana wananchi wamechoka kujiandikisha au vip?
Kupewa lengo na kuongeza watu hewa ni vitu viwili tofauti.hizo ni hila zakitoto za chama cha mbogamboga.Huu utaratibu wa kujiandikisha nadhani umepitwa na wakati ni kupoteza muda tu. Karne ya 21, miaka 60 ya uhuru tunatumia makatasi. Tutoke analojia twende kidigitali zaidi.
Hapo mwandikishaji amepewa lengo/idadi ya watu anaotakiwa kuandikisha ndiyo maana akiona hali ngumu anaongezea majina yake.
Utayasikia.."Mama amefungua demokrasia, haijawahi kutokea Watu kujiandikisha kwa wingi kama awamu ya sita"Ni uchafuzi mtupu
Hata kama itapatikana katiba mpya kukiwa hakuna utashi wakisiasa ni kazi Bure.CCM badilini mgombea mtapenya,
CHADEMA susia uchaguzi, harakati za kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote viendelee.
Nilisema tangu awali,
Hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI bila kwanza kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote.
Tusubiri.