kikokotoo kishikwambi
New Member
- Sep 9, 2024
- 3
- 0
Duh!
Kama wanaigiza.
Kama wanaigiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mifumo thabiti ya Utambuzi wa Watu kwenye hizi nchi zetu hizi za ki-Afrika. Suala hili limefanywa kwa makusudi na baadhi ya Watawala wahalifu ili kuweza kujinufaisha binafsi wao wenyewe wakiwa madarakani. Mathalani, watawala wamekuwa wakivuruga makusudi mifumo ya utambuzi wa Watu katika nchi zao kwa nia ovu ya kutaka kuiba kura nyakati za Uchaguzi wa siasa, ili kuendesha biashara haramu ya binadamu, magendo na uhalifu katika masuala ya utakatishaji fedha chafu, kufanikisha biashara zao za madawa ya kulevya, na kufanikisha biashara haramu za kumiliki na kuendesha Magenge ya Uhalifu. Mfano mzuri zaidi kwenye suala hili ni uendeshaji wa biashara haramu ya magenge ya Utekaji watu na kuomba "Kikombozi" kutoka kwa Wanandugu wa Mtekwaji (abductees that kept into hostage camps) inayofanywa na baadhi ya Watawala wahalifu nchini Nigeria kupitia kwa Magenge ya Wanamgambo wa Boko Haram.Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka watu 688 hadi 860
Pia, Soma:
==> Karatu: Kijana Jasiri aibua Kashfa, Msimamizi wa kituo aondoka na daftari la wapiga kura ajaza majina kivyake!
==> Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!
==> Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
CCM ni janga la taifa la TanganyikaKarani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka watu 688 hadi 860
Pia, Soma:
==> Karatu: Kijana Jasiri aibua Kashfa, Msimamizi wa kituo aondoka na daftari la wapiga kura ajaza majina kivyake!
==> Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!
==> Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka watu 688 hadi 860
Pia, Soma:
==> Karatu: Kijana Jasiri aibua Kashfa, Msimamizi wa kituo aondoka na daftari la wapiga kura ajaza majina kivyake!
==> Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!
==> Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Ni uchafuzi mtupu
SISIEMU bila wizi hawatoboi ,huwa nashindwa kuelewa ,wao si wanasema wanakubalika na wana wanachama wengi sana ,sasa kwanini bado wanaiba kura? Si wansema kama wamefanya maendeleo ya kufa mtu ,sasa mbona wanaogopa?