LGE2024 Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga Kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM ni shetanu. Haitakuja ibadilike. Nchi imelaanika kwa sababu inaongozwa na chama shetani.
 
Aibu kwa CCM
Mkuu, ulipotea humu; karibu sana. Hiyo taasisi imechoka sana lakini haijitambui kama imechoka. Hata Simba akizeeka, Simba vijana humtaka aiachie eneo lao kwa kulilinda, na kama atapuuza ushauri wao wana mtwanga na kumfukuzilia mbali.
 
Uchafuzi wa serikali za mitaa mwaka huu utakuwa mkubwa kuliko ule wa 2019 na mwakani 2025 hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi ya 2020.
Vyama hivi kushiriki hizi chaguzi wamekosea sana

Ova
 
NI muhimu kuendelea kuanika huu upotevu wa pesa za walipa kodi kwa kichaka cha uchaguzi...awareness kwa watanzania ndio kitu pekee kitaitoa hii Ccm madarakani!
 
Wadau wa maendeleo wamewaonya, lakini hamtaki kusikia

14 Oktoba 2024
Dodoma.

NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA



Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024

Naibu katibu mkuu CCM bara anaonekana kama vile akimuambia, mkuu hata wewe unawasaidia wadau kupata mafaili ya michezo yetu ya rafu katika uchaguzi, kuwa mzalendo kidogo.

Jamaa kinyonge kama vile anasema AI - Artificial Intelligence (akili mnemba / akili bandia) huwezi kuficha michezo hiyo, roboti inasoma hata lugha ya kiSwahili YouTube, JamiiForums na kutoa tafsiri kwa wadau wa maendeleo
 
Wenzenu chama dola kongwe FRELIMO michezo yao ya uchafuzi ilifuatiliwa kwa kina na wadau wa maendeleo


Waangalizi wa uchaguzi wa Mozambique kutoka Jumuiya ya Ulaya EU:

“Kazi yetu Umoja wa Ulaya ni kukusanya, kuchambua na kuchakata taarifa bila kuingilia mchakato wa uchaguzi.

Kila siku tunakutana na vyama vya siasa, tume na wasimamizi uchaguzi, vyombo vya habari, mashirika ya kiraia, na wapiga kura katika kila wilaya ya mkoa wetu. Ni kazi inayohitaji shauku na udadisi kuhusu tamaduni zingine”.

The European Union Election Observation Mission in Mozambique 2024:


View: https://m.youtube.com/watch?v=5tUBznmuDqQ
“Our job is to collect, process and analyse information without interfering in the process. Every day we meet with political parties, electoral bodies, media, civil society, and voters in every district of our province. It’s a job that needs interest and curiosity about other cultures
 
Kupewa lengo na kuongeza watu hewa ni vitu viwili tofauti.hizo ni hila zakitoto za chama cha mbogamboga.
 
Hata kama itapatikana katiba mpya kukiwa hakuna utashi wakisiasa ni kazi Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…