Mwanza kutamu asikwambie mtu

Nilijua ni mimi peke angu
Nitarudi tena safari hii nataka nilale malaika Beach ili nipate treatments za kitalii kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah panavutia sana
Mkoa mmoja umetulia hivi
Ah nenda uenjoy
 
Ah panavutia sana
Mkoa mmoja umetulia hivi
Ah nenda uenjoy
Dahh ntakuwa naenda angalau kwa mwaka mara moja nile maisha mimii
Safari nyingine nataka niende hadi ukerewe
 
Dahh ntakuwa naenda angalau kwa mwaka mara moja nile maisha mimii
Safari nyingine nataka niende hadi ukerewe
Ah unapenda safari hadi raha
Kutembea nako kuzuri .. wajifunza vingi
 
Mwanza sasa ni kama home, nimekaa huko zaidi ya miaka 3 kabla ya kurudi Arusha. Nimefanikiwa kununua maeneo mbalimbali na kujenga pia. Ndugu na marafiki wengine walivutiwa nao wakanunua maeneo mengi huko. Mimi nilivutiwa na samaki na ukarimu wa wakazi wa huko, especially watu wa kisesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…