Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mwanza kutamu asikwambie mtu

Wa Arusha niko hapa…
Nilikuwepo Mwanza zaidi ya 1 week!
Aisee ni patamu 😋😋
Nikiokota hela nitarudi tena.
Hata wafanya biashara wao wana ukarimu kwa mteja. Hiki kitu Chuga sio sana, labda wapaka rangi wa Chuga ndio at least wako wakarimu kwa mteja.
Mbona wachaga wako poa tu Arusha?
Shida iko kwa wenyeji na makabila tokea Manyara na kwingineko wanaofanya biashara Arusha hawana ukarimu.
 
Napenda sanaaaaaa
Mfuko ukiwa tu mzuri mimi huyooo
Next stop ni mbeya, ruvuma hadi Zambia...
Ukienda trip ya Mbeya mpaka Zambia nishtue tuongozane. Nimemiss ukanda huo. Niliiishi Zambia 2013-2014. Nilii-enjoy sana. Nilitembelea provinces karibu zote kule.
 
Ukienda trip ya Mbeya mpaka Zambia nishtue tuongozane. Nimemiss ukanda huo. Niliiishi Zambia 2013-2014. Nilii-enjoy sana. Nilitembelea provinces karibu zote kule.
Mwakani mkuu
Miezi ya 1 hadi 2 wakati wa kile kiangazi cha January...nikichelewa hapo basi itaanza June
 
Rock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko 🥰

Nitarudi tena 🔥
Antelope kweli? Tilapia kweli? Nilikuepo kwenye match ya simba na Yanga sikuona kiivo karibu ze girini site
 
Back
Top Bottom