Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
[emoji16][emoji16]Labda wenyej wanitafutiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]Labda wenyej wanitafutiee
Ntumie nauliKaribu tena mwanza
Mbona wachaga wako poa tu Arusha?Wa Arusha niko hapa…
Nilikuwepo Mwanza zaidi ya 1 week!
Aisee ni patamu 😋😋
Nikiokota hela nitarudi tena.
Hata wafanya biashara wao wana ukarimu kwa mteja. Hiki kitu Chuga sio sana, labda wapaka rangi wa Chuga ndio at least wako wakarimu kwa mteja.
Ukienda trip ya Mbeya mpaka Zambia nishtue tuongozane. Nimemiss ukanda huo. Niliiishi Zambia 2013-2014. Nilii-enjoy sana. Nilitembelea provinces karibu zote kule.Napenda sanaaaaaa
Mfuko ukiwa tu mzuri mimi huyooo
Next stop ni mbeya, ruvuma hadi Zambia...
Kaa nazo ukija huku tunakupiga risasi tuWe hutaki monkey pox😂😂hebu kaa kwa kutulia
Mwakani mkuuUkienda trip ya Mbeya mpaka Zambia nishtue tuongozane. Nimemiss ukanda huo. Niliiishi Zambia 2013-2014. Nilii-enjoy sana. Nilitembelea provinces karibu zote kule.
Nidundwe..?Ntumie nauli
Hamna wa kukudunda.. tuma iyo nauli nije nile raha za jijiNidundwe..?
Una undg na Kim?Kaa nazo ukija huku tunakupiga risasi tu
😂 Na unavyojua kula nauli na hilo bichwa lakoHamna wa kukudunda.. tuma iyo nauli nije nile raha za jiji
Naundugu na yule jamaa aliempiga mke wake risasi sabaUna undg na Kim?
Bado haujanitisha nakuletea 🐒 pox na covid pro maxNaundugu na yule jamaa aliempiga mke wake risasi saba
🙄Bado haujanitisha nakuletea 🐒 pox na covid pro max
Saivi sili.. nataka raha za jiji mimi..😂 Na unavyojua kula nauli na hilo bichwa lako
😂 Matapeli bhana yanalugha nzuri ukishatuma tu utajua what is blocking!Saivi sili.. nataka raha za jiji mimi..
Antelope kweli? Tilapia kweli? Nilikuepo kwenye match ya simba na Yanga sikuona kiivo karibu ze girini siteRock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko 🥰
Nitarudi tena 🔥