Mwanza kutamu asikwambie mtu

Kirumba hapa,Saa hizi soko ndio limeamka saa hizi.
Huwezi amini nilikuwa kirumba hapo ila hilo soko la mzunguruko sikulijua...ila niliona kama watu wako busy sana mida ya usiku mitaa hiyo
 
[emoji1787] Mwanza uende na Hela yako tu kila Pisi unapasua
 
Halafu kuna mishe gani hapo za kimazabe...maana boda mmoja alinambia usiwaone mchana wamevaa nguo hawa watu wa kirumba ...usiku wanageuka kuwa zaidi ya Sodoma.
Nipo nao karibu sana hapa! Vituko ninavyoshuhudia hapa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…