Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mwanza kutamu asikwambie mtu

Kirumba hapa,Saa hizi soko ndio limeamka saa hizi.
Huwezi amini nilikuwa kirumba hapo ila hilo soko la mzunguruko sikulijua...ila niliona kama watu wako busy sana mida ya usiku mitaa hiyo
 
Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.

Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema arusha...arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii mwanza.
Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.
Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka??
Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.
Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza... hutajutia pesa yako.
[emoji1787] Mwanza uende na Hela yako tu kila Pisi unapasua
 
Halafu kuna mishe gani hapo za kimazabe...maana boda mmoja alinambia usiwaone mchana wamevaa nguo hawa watu wa kirumba ...usiku wanageuka kuwa zaidi ya Sodoma.
Nipo nao karibu sana hapa! Vituko ninavyoshuhudia hapa....
 
Back
Top Bottom