Mwanza kutamu asikwambie mtu

Itakuwa una rangi ya thaoo Nakadori mpaka wakahisi wewe ni Manka tu.

Hivi Villa Park restaurant bado iko? Mwanza nilikula samaki mpaka basi. Maana Arachuga ni nyama kwa wingi 😁😁
 
Utamu gani sasa?
Madem wa huko ni washamba,kupika hamjui halafu lugha yenu kuu ni kisukuma tu.

Bora Arusha kuna totozi[emoji111]
 
Itakuwa una rangi ya thaoo Nakadori mpaka wakahisi wewe ni Manka tu.

Hivi Villa Park restaurant bado iko? Mwanza nilikula samaki mpaka basi. Maana Arachuga ni nyama kwa wingi 😁😁
Villa bado ipo ndugu...
Mathamaki yapo sema bei kuubwaa
 
Kinachoifanya mwanza iwe unique ni nini? Nimesoma comments na sijaona bado nini kinawafanya muione bora kuliko arusha.

Sio mwenyeji sana, ila niliiona nzuri tu kama Arusha, haina tofauti sana zaidi ya mandhari nzuri ya ziwa. I had my lunch pale Malaika(sponsored by my boss, coz mwenyewe huwa sili sehemu classic hata niwe na pesa ngapi ), the lake view is next to none..just too exquisite.
 
Ni kweli......nikiendaga Mwanza huwaga sipendi kufikia sehemu nyingine yoyote zaidi ya Nyegezi mana ndo huwaga najipimia tu Sato.
Sasa Nyegezi pale kuna Sato gani?? Au kwasababu ilisikia Diamond kaimba Nyegezi.

Jokes[emoji1]
 
Kama ni ugoro za nyegezi stendi temana nazo vuta hata za kishiri dingiii,ushawahi kuja green city ww au unaona tu kwenye tv? Dingiii temana na hizo ugorooo
Shida mnadhani watu hatutembei, Green City kuna kipi cha kuizidi mwanza?? Majiji ya maana hapa Tz ni Dar, Mwanz na Arusha.....Mbeya ni sehemu ambayo ipo tofauti na jinsi inavyosimuliwa, pa hovyo sana.
 
Wewe utakua unavuta bangi siyo ugoro tena bangi ya mkuyuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…