Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mwanza kutamu asikwambie mtu

Samaki niliketa kweli ila walivyogombewa hata mimi mwenyewe sikuwafaidi
Vibaya hivyo bibie, umeamua tu kuninyima, tulikubaliana mie nije stendi kukupokea, ningekuja mie ndio ningekuwa wa kwaanza kabisa kula samaki.
 
Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.

Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni Mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema Arusha. Arusha pia nimeishi ila kwakweli hapafikii Mwanza.

Kwanza ni pazuri...
Ni pasafi....
Pili hali ya hewa ni rafiki......
Starehe pia zipo kama zote...
Sema tu asee kama mfuko umetoboka usiende. Labda uwe na ndugu kwamba utaishi bure gharama yako iwe nauli tu na ugali wa shikamoo.

Wasukuma pia sio wachoyo sana.....ila nilichoshangaa mara nyingi nikipita mtaani naangaliwa sana(japo haikuwa mara zote).....halafu nilipokuwa naongea wananiita manka wakati me sio manka. Jamani wasukuma ina maana mtu ambaye anaongea tofauti na nyie ni manka?

Wadada na wamama wa kule wote wana shepu za maana na miguu ya bia...sikuona mwenye fito kule wala mwenye pasi ....so wale wazee wanaopenda ishu hizo patawafaa.

Nakushauri kama hupajui mwanza jitahidi ukatembee mwanza hutajutia pesa yako.
ungekuwa mwanaume ingekuwaje
 
Kwa kwenda kutembea na kuondoka sawa ila sio kuishi, na hiyo kushangaa hata mie sielewi kwanini watu wa Mwanza wanashangaa sana ni kua wanajua huyu mgeni au ni hulka tu,

Anyway, Dar kutamu asikwambie N'tu.
 
Kwa kwenda kutembea na kuondoka sawa ila sio kuishi, na hiyo kushangaa hata mie sielewi kwanini watu wa Mwanza wanashangaa sana ni kua wanajua huyu mgeni au ni hulka tu,

Anyway, Dar kutamu asikwambie N'tu.
Yani wasukuma wanajua kushangaa sana sana...
Wanaume ndio kabisaaa shingo kodo kodo
Hadi mtu unajistukia kama hujazoea kuzodolewa macho
 
Kenyatta road(Shinyanga road),Nyerere road(Musoma road) na Airport road hizo ndizo barabara za Mwanza
Mbona hunataja highway tu, ata dar ina highway tatu unataka mji huwe na highway ngap kuunganisha na mikoa mingine hicho kichwa chako kina shida na kama ilo fuvu lina ubongo basi ni ubongo wa fisi maji.
 
Hizo siyo barabara hiyo ni mitaa,ili ufike butimba lazima utumie kenyatta road ili ufike buzuruga lazima utumie nyerere road ili ufike tunza beach lazima itumie airport road,wewe unataja mitaa badala ya barabarana,kona ya bwiru kitangiri huo ni mtaa jombaa
Kuna barabara mpya zimejengwa,hapa sabasaba ipo inayoenda buswelu wilayani.
 
Back
Top Bottom