Kichwa chako ni kibovu ila leo kitapona
mm kazi yangu ni kukutoa ujinga tu..
Hizo highway unazojiongelea wewe zinapakana na haya maeneo mfano barabara ya kenyatta imepita kwenye haya maeneo buhongwa,mkolani,nyegezi,hohari,mkuyuni,mwanza South(pepsi&voil) hadi mjini kati..
swali watu wanaoishi butimba,nganza,mnangani,sweya,luchelele nk wanatumia barabara gani?
Barabara ya nyerere
ni kisesa,kanyama,nyamhongoro,igoma(malamala&ndama)nyakato(kijereshi,mwatex,national,sokoni,buzuruga,mabatini(sinai,darajani,mlango mmoja) nata hadi mji kati
Swali watu wanaoishi...
Bugando,bugarika,igelegele,wazimu,minazi mitatu,Bandera tatu,buzwagi,mahina,mwananchi,nyasaka,mecco,kaangae,busweru,maduka tisa, nk wanatumia barabara gani?
Barabara ya makongoro/airport ni
Airport penyewe,kanisani,radio free,sabasaba,iloganzara,pansiasi,seremala,kona ya bwiru,ghana,furahisha,mission,nera hadi mjini kati
Swali
watu wanaoishi.....
Mwaloni,magomeni,kirumba,ibanda,kitangiri,mihama,bwiru,jiwe kuu,mji wema,isamilo,kilimahewa,kiloleli, na na na na na na. wanatumia barabara gani
Rudi kwa huyo aliokwambia jiji la mwanza Lina barabara tatu tu kakudanganya.. mda mwingine muwe mnatuuliza wenyeji tunawapa ramani sio mnarukaruka hovyo hovyo tu.... bye
UKIPOTOSHA NITARUDI KUWEKA MAMBO SAWA by NGOSHA WA MBASA