KERO Mwanza kuwa na changamoto ya maji ni aibu kubwa sana kwa jiji lenye vyanzo vingi vya maji kama hili

KERO Mwanza kuwa na changamoto ya maji ni aibu kubwa sana kwa jiji lenye vyanzo vingi vya maji kama hili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sio aibu pekee, ni upumbavu na ushenzi wa kifikra. Sio ziwa tu, sema asilimia 60 ya ziwa iko mikoa ya kanda ya ziwa ila sasa uliza kimbembe cha maji kilichopo Mara, Mwanza na Kagera.
 
Wapuuzi sana maji yanatoka kila baada ya wiki mbili halafu wanataka dola
Nani mpuuzi lwa kauli yako, anayetoa kura au anayempa kura ilhali hakuna huduma muhimu kama maji kwa zaidi ya mwezi katika mji uliozungukwa na maji ya ziwa!
 
Sio aibu pekee, ni upumbavu na ushenzi wa kifikra. Sio ziwa tu, sema asilimia 60 ya ziwa iko mikoa ya kanda ya ziwa ila sasa uliza kimbembe cha maji kilichopo Mara, Mwanza na Kagera.
Tena mikoa yenye idadi kubwa ya watu, lakini watu hawa wakiendwlea kuishi kama enzi za zama za.mawe za kale. Utaanza vipi katika karne hii kuchimba vishimo ili upate maji.
Nani aliwaloga?
 
Nakariri maneno ya Hayati Robert Nesta Berhane selasie Malery alisema katik Rat Race " I abudance of water the fool is thirsty".

Kwamba mji wa Mwanza ulioko pembezoni mwa Ziwa victoria, likisemwa la tatu kwa ukubwa duniani na ambalo linatiririsha maji yake kupitia Ethiopia, Sudan hadi Misri lakini wakazi wake wanalia kiu!

Kwa hakika Bob Marley aliona mbali sana. Kwamba wakati maji hay yakisafirishwa lwenda shinyamga, Kahama Nzega, Tabora na nk, wakazi wa mwanza wanalia kiu.

Kwamba, kwa zaidi ya mwezi mmoja ya wiki mbili wakazi wa Bulale, kata ya buhongwa, hawajaona tone la.maji huku mamlaka ikituma "bill" za maji

Kwamba, wakazi hawa watiifu lwa taifa lao wanao9shi km tatu kutoka ziwani, hulazimika kuamka saa tisa usiku kwenda kwenye visima.na madimbwi kutafuta maji yanayokatika ifikapo saa tano asubuhi!

Kwamba, huyu " fool" kwa mujibu wa Bob Marley, hawezi kupaza sauti au kuwafuata wanaohusika kudai uwajibikaji!

Kwamba, katika zama hizi watu wanoishi pembeni ya ziwa wanalipa shilingi elfu tano ili kupata ndoo 10 za maji, huku wasiokuwa na uwezo wakiwa hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kwa kukosa maji!

Kwamba, baadhi yao, wenye " uwezo" na pengine " ubinafsi" wanaongelea kuchimba visima kwenye makazi yao, badala ya kudai uwajibikaji ili jamii yote ipate maji!

Nami nimalize na swali la Yesu kwa wagalatia "enyi watu wa Mwanza ni nani aliyewaloga?
yani sehemu iliyopo ndani ya kata inakosa maji unajumuisha Mwanza yote?
 
yani sehemu iliyopo ndani ya kata inakosa maji unajumuisha Mwanza yote?
Duh. Aliyekuhadithia mwambie atafungue ukurasa mwingine sio kwa uongo huo.
Au ni miongoni mwa wale wanaonufaika na kadhia hii? Na hata kama ni "eneo" ndani ya kata, ndio iwe halali watu kukosa maji?
Bado uko mwauwasa au ulitoka na kuacha kamaa zako, ambao utawatetea hata kitokee nini.
Hii ndio akili ya watanzania, kuamini wameumbwa ili kutaabika.
 
Tena mikoa yenye idadi kubwa ya watu, lakini watu hawa wakiendwlea kuishi kama enzi za zama za.mawe za kale. Utaanza vipi katika karne hii kuchimba vishimo ili upate maji.
Nani aliwaloga?
Na huko ndiko iliko ngome kuu ya CCM, huwaambii kitu. Kijijini kwao na mama ziwa lipo takribani km 9 au 8 hivi lakini hamnaga maji tangu mimi nimepata ufahamu, kipindi cha kiangazi wanakijiji huwa wanaamshana saa 7 kwenda kupanga foleni ya maji, hapo mtu anakuja kurudi nyumbani saa 11 na ndoo moja, ila kwenye CCM sasa wale wazee huwaambii kitu
 
Tatizo hili litamalizika siku wakazi hao wakiamka kutoka kwenye usingizi waliolala tangu kuingia kwa wakoloni.
 
Na huko ndiko iliko ngome kuu ya CCM, huwaambii kitu. Kijijini kwao na mama ziwa lipo takribani km 9 au 8 hivi lakini hamnaga maji tangu mimi nimepata ufahamu, kipindi cha kiangazi wanakijiji huwa wanaamshana saa 7 kwenda kupanga foleni ya maji, hapo mtu anakuja kurudi nyumbani saa 11 na ndoo moja, ila kwenye CCM sasa wale wazee huwaambii kitu
Ukipita mida hii standi ya mabasi ya Nyegezi kama unakwenda Buhongwa kuna daraja liko mita chache kutoka standi hiyo, kundi la wanawake na watoto wanachota maji chini ya daraja hilo yenye rangi ya njano lakini wanakwenda kuyatumia!
 
Zaid ya miaka 60 ya uhuru chini ya majiz na majambaz maccm hata maji tu yamewashnda tena kwa mikoa iliyo jiran na ziwa victoria mamaeee walahi halafu mkuu wa wilaya anatembelea gari ya mil 500 bdo la mkurugenzi, bdo la mkuu wa mkoa, bdo la katibu tawala wkt huo hospital hata panadol ya kununua hakuna..mamaeee walahi.
 
kwa hakika inashangaza. Inasemwq tatizo hili liko wilaya mbili zote zikiwa kando ya ziwa, wanakunywa maji pamoja na ng'ombe hadi wanyama hao wanashangaa! Lakini nani anayegharamia ununuzi wa hayo magari?
 
Sio Mwanza tu hata dar pia kukosa maji ni vichekesho maana mto rufiji tu unamwaga maji mengi sana yangetumika kusaidia wanainchi wa dar..Yote haya ni kua na viongozi wasio na maono yaan sasa hivi ndo wako karibu na wananchi ukipita uchaguzi hata kuwaona hao viongozi ni shida ....unafiki nafiki tu...
 
Tena mikoa yenye idadi kubwa ya watu, lakini watu hawa wakiendwlea kuishi kama enzi za zama za.mawe za kale. Utaanza vipi katika karne hii kuchimba vishimo ili upate maji.
Nani aliwaloga?
Mbona kama unawashambulia sana hao wakazi utafikiri wao ndio wamekwamisha hiyo miradi ya maji inayozinduliwa kila leo?

Kwa comments zako hapa naona kabisa kuna chuki umeificha kupitia haya malalamiko yako unayowasilisha hapa, tatizo la nchi hii kila mtu anajua ni nini na linaanzia wapi... ila umekomaa tu wakazi.. wakazi, matako yako
 
Back
Top Bottom