Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

Kumbe hii stori imeanzia mbali.Mi nilikuwa nashangaa mbona haijakamilika ila watu wana comment kama vile wanaijua sana!

Binafsi ningependa kujua aliwaacha saa ngapi?

Hiyo saa Tisa usiku nani aliwaokoa huko?Je ni watu wa ulinzi shirikishi?Maana sio kawaida saa tisa watu kuwa majarubani!

Kwani alikuwa ameolewa?Aliwaazaaje kwa mpishano huo wa umri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua na ugomvi na mumewe akamua kwenda kuwatupa watoto kwenye mashamba ya mpunga, mwenye shamba ndie kawakuta, umri ni mkubwa miaka miwili na mdogo miezi miwili, wapo Bugando Hospital wanaendelea vizuri.
Mume bado anasakwa na yeye atiwe mbaroni.

Source kwenye Tv.
 
Back
Top Bottom