Kumbe hii stori imeanzia mbali.Mi nilikuwa nashangaa mbona haijakamilika ila watu wana comment kama vile wanaijua sana!
Binafsi ningependa kujua aliwaacha saa ngapi?
Hiyo saa Tisa usiku nani aliwaokoa huko?Je ni watu wa ulinzi shirikishi?Maana sio kawaida saa tisa watu kuwa majarubani!
Kwani alikuwa ameolewa?Aliwaazaaje kwa mpishano huo wa umri?
Sent using
Jamii Forums mobile app