Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

Itakuwa makerubi wake wamemuambia mfalme unatudhalilisha maana sura bila make up imechakaa kama kenge
 
Ni uonevu tu mbona ukienda kwa waganga wa kienyeji utakuta kuna watu wengi tu wamekusanyika rika zote tena bila kibali ni lini nao watakamatwa na kupewa kesi za human trafficking. Polisi waache dabo standard. Mtu akatazwi kuamini popote. Au kwa sababu waganga ni wateja wao.
 
Ieleweke zumarid sio Mkristo wala si mfuasi wa Kristo, yeye ana mfumo wake wa ibada. Pia zumarid amtambui Yesu.
Yeye umtambua mungu wa zumarid, yeye afungamani na Ukristo.
 
Watu wanachanganya Christianity na white magic. Zumarid, mitume na manabii, watenda miujiza hawa ufanya white magic, Ukristo uutumia kama kichaka cha kupatia waumini na kupata usajili wa ibada zao. Lakini wengi si Wakristo.
 
Wanamwonea tuwamwache. Kwani nani alienda kumlalamikia mfalme.

Yule hana bifu,wala shida na mtu wala jirani yeyeto,bifu lake na police baada ya kuwagomea police kumvamia nyumbani kwake bila kufuata utaratibu wa ukamataji.
Mbona wengine mfano kina Gwajima,mwingira walipewa wito kuripoti police na sio kuvamiwa.
 
Kesi ya human trafficking haipo hapo Ili iwepo ni lazima wafuasi wake aliokamatwa nao wamsaliti yaani wawe upande wa jamhuri, wawe kama mashahidi upande wa jamhuri.
Hii kesi police wamekurupuka kama ile ya mbowe, na wanakwenda aibika kama walivyoaibika kwa kesi ya ugaidi wa Mbowe. Ipo haja ya police watafute wanasheria nje yao Ili kabla ya kufaili kesi wazipime kama zinashiba degree za kesi husika.
Mkusanyiko bila kibali nalo hakuna kesi hapo, bila kibali ni ktk mazingira gani public au private premises.
 
Back
Top Bottom