Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

Hakuna ground za humani traffic pale ni uonevu tu.
Kuwakusanya watu sehemu moja bila kibali na kuzingatia kanuni za afya ni kosa. Ila hua haliwi termed kama human trafficking
 
Kuwakusanya watu sehemu moja bila kibali na kuzingatia kanuni za afya ni kosa. Ila hua haliwi termed kama human trafficking
Kwa ground hizo basi itakuwa ni dabo standard.Wakamatwe wote wanaokusanya watu majumbani mwao.
 
Kina Gwajima, Mwamposa, Subuye nk hakuna watu huko kutoka sehemu mbali mbali? Halafu ni nani amelalamika kukusanywa?
Kuwakusanya watu sehemu moja bila kibali na kuzingatia kanuni za afya ni kosa. Ila hua haliwi termed kama human trafficking
 
Kina Gwajima, Mwamposa, Subuye nk hakuna watu huko kutoka sehemu mbali mbali? Halafu ni nani amelalamika kukusanywa?

Tatizo la Zumaridi pale ndio nyumbani kwake. Hawa wengine pale ni sehemu ya ibada tu.
 
Mtu kujiita mungu ni kosa kisheria?

Makonda alijiita mungu wa dar alishitakiwa?

Sio kosa maana serikali haiamini katika dini, sema tu itachukuliwa Kama kashfa kwa dini zingine.
 
Human trafficking si inabidi hao wasafirishwa wawe upande wa mashtaka? Mbona wamejumuishwa kama watuhumiwa

Chimbuko la kesi yote Ni mtoto alitakiwa kuwa shule lakini akawa amefungiwa huko kwa Zumaridi pamoja na mama yake. Sasa baba yake na mtoto kajitahidi kuwatoa huko kwa Zumaridi ikashindikana mpaka ndoa ikavunjika.

Ndipo baadae baba yake kaamua kuomba summons mahakamani ili mtoto wake atolewe huko aletwe mahakamani ili baba yake amchukue. Polisi walipoenda na summons kumchukua mtoto kwa Zumaridi ndipo wakafanyiwa fujo na makerubi wake Zumaridi.
 
Watu wanachanganya Christianity na white magic. Zumarid, mitume na manabii, watenda miujiza hawa ufanya white magic, Ukristo uutumia kama kichaka cha kupatia waumini na kupata usajili wa ibada zao. Lakini wengi si Wakristo.

Umrongea ukweli mtupu.
 
Sio kosa maana serikali haiamini katika dini, sema tu itachukuliwa Kama kashfa kwa dini zingine.
Ufike mahali nchi iongozwe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Zumaridi hajatukana mtu wala dini.
Labda ile ya mikusanyiko isiyo na kibali ni sahihi.
 
Kina Gwajima, Mwamposa, Subuye nk hakuna watu huko kutoka sehemu mbali mbali? Halafu ni nani amelalamika kukusanywa?
Mkuu mimi nimesomea hizi ishu. Wewe umesomea au umeandika kwa hisia?
 
Back
Top Bottom