Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Hatimaye ameona kumbe hiyo inshu ni serious na sio mzaha mzaha kama alivyo Amin mwanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamteteaje wakati anakinzana na imani zao, hamtambui Yesu ambaye ni msingi wa imani ya Kikristu na Hamtambui Muhamad ambaye ni msingi wa dini ya Kiislam. Watamtetea kwa lipi?Viongozi wa dini badala ya kumtetea huyu nabii Zumaridi wao wanajipendekeza kwa Mbowe wa Chadema!
Tasfiri ya mikusanyiko kuwa na kibali ni ipi na kuanzia watu wangapiUfike mahali nchi iongozwe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Zumaridi hajatukana mtu wala dini.
Labda ile ya mikusanyiko isiyo na kibali ni sahihi.
Lazima ukae karibu na WaridiViongozi wa dini badala ya kumtetea huyu nabii Zumaridi wao wanajipendekeza kwa Mbowe wa Chadema!
watakuwa washampiga mambo kule magerezaAmeanza kunyooka
Ungekuwa mkristo ningekuuliza unazijua amri kumi za Mungu?Huyu mikorogo naona imeanza kufeli....
Never trust women,, alivokuwa madhabahuni alikuwa anaonekana Binti kabisa,, ila sasa Only God knows..
Na anajiita Mungu.. atulie wakina Kingai wamjuze mambo huwa yanaendaje