Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.

Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
wakiwa pale pale mahakamani ?
 
Haki imetendeka maana mie namjuwa vizuri huyo jamaa tangu akiwa uraiani na hata alipokuwa gerezan Butimba Kama mahabusu maana nilijichanganya siku moja kisa mazingira ya kazi sasa ili kuonekana ni uhalisia nikaenda zangu Butimba siku 4 nililala chumba kimoja na huyo jamaa tena tukapiga na story sana tu baada kula maharage siku kadhaa nikatoka asubuhi na mapema bila remove oder na kirungu kimoja maana nilitka na namba za watu kwa ajili ya kufanya mawasiliano na ndugu zao waje kuwasaidia, Hivyo huyo J4 namjuwa fika alikuwa jeuri balaa kama alivyokuwa mwenzake Zakaria japo siku hizi ndio hivyo tena kama mnavyojuwa kifaranga kikipitiwa na mwewe huwa hakina Jeuri tena ni kuanza kuishi kwa matumaini ila sio kwa jeuri tena na uhakika
 
Huyu bwana kuna thread nyingine iliwahi wekwa humu na mmoja wa members akilalamika kudhulumiwa naye, au ni mwingine nimechanganya madesa? Maana na yeye alikua mfanyabiashara wa Mwanza. Ngoja nipekue pekue nyuzi za nyuma. mwanamwana
 
Haki imetendeka maana mie namjuwa vizuri huyo jamaa tangu akiwa uraiani na hata alipokuwa gerezan Butimba Kama mahabusu maana nilijichanganya siku moja kisa mazingira ya kazi sasa ili kuonekana ni uhalisia nikaenda zangu Butimba siku 4 nililala chumba kimoja na huyo jamaa tena tukapiga na story sana tu baada kula maharage siku kadhaa nikatoka asubuhi na mapema bila remove oder na kirungu kimoja maana nilitka na namba za watu kwa ajili ya kufanya mawasiliano na ndugu zao waje kuwasaidia, Hivyo huyo J4 namjuwa fika alikuwa jeuri balaa kama alivyokuwa mwenzake Zakaria japo siku hizi ndio hivyo tena kama mnavyojuwa kifaranga kikipitiwa na mwewe huwa hakina Jeuri tena ni kuanza kuishi kwa matumaini ila sio kwa jeuri tena na uhakika
Hmm! Mbona unamwaga siri hadharani!
 
Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.

Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
nipo kwenye boaboda siusikii vizuri ongeza sauti kidogo.
 
kuna jamaa hapo mwanza mjini anaitwa Ukwaju, alikuwa anasumbua sana bar za kirumba miaka ya 2010 hivi bado yupo
alikuwa na nyumba yake ya ghorofa hapo mitaa ya ghana
Niko nae hapa anapiga Serengeti lager km kawaida...sio msumbufu hata....nimemuonyesha post yako anasema huna pesa unatafuta kesi..ha aha aha
 
Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.

Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
Nimetamani usimulie zaidi mkuu.

Pa1 na mauhunihuni yangu, kulivyo na kusanyiko la watu eneo la mahakama na vurugu zote zile, mtu anawezaje kuunga mb bila ya kushitukiwa na kadamnasi?

Chaji anaipata na anaunga mb bila wasiwasi duh, emb eleza zaidi mkuu ninufaike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jamaa limepata kilichostahili.

Hawa jamaa wote walikuwa matapeli wazuri. Na mara nyingi waliwatapeli wageni kutoka nje. Siku hiyo walikuwa wamepiga dili kama USD 70k, kwenye mgao walikwepana kiswahili.

Juma4 alitaka pesa nyingi kuliko wenzake, mzozo ulianzia hapo. Na hii Habar naona imefinywa finywa, wala hawakuwa ofisini, walikuwa nyumbani.

J4 aliwaita kwake ili wagawane, kufika kwake akawatandika risasi, mmoja alipigwa palepale amekaa, mwingine alitaka kukimbia akala za mgongo, kisha akawashikisha mapanga na kusema walitaka kumvamia.

Haya ya ofisni Mmh.

Ila nitakukumbuka sana mwanangu Clau, zile bia Shatemba....
 
Alikuwa na dharau sana ,hata kesi yake hukumu kuchelewa naona kulikuwa na mazingira ya halufu ya rushwa toka 2015 ,hukumu ndio imesomwa ila tunashukuru haki imetendeka

sent from toyota Allex
 
Niko nae hapa anapiga Serengeti lager km kawaida...sio msumbufu hata....nimemuonyesha post yako anasema huna pesa unatafuta kesi..ha aha aha
😁nimecheka itakuwa kweli upo nae ninavyomjua Ukwaju hayo ndo maneno yake sema hana makuu si mtu wa mvurugu
 
Back
Top Bottom