Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora angeawatandika za miguu tuHasira hasara . Lakini wale jamaa walikuwa wapigaji sana. Na Mimi ni mhanga wa mmoja wao . Yalikuwa matapeli wakubwa.
J4 hasira zimemponza [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yake, tatizo ni kupenda madili ya hovyoHasira hasara . Lakini wale jamaa walikuwa wapigaji sana. Na Mimi ni mhanga wa mmoja wao . Yalikuwa matapeli wakubwa.
J4 hasira zimemponza [emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
wakiwa pale pale mahakamani ?Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.
Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
Hmm! Mbona unamwaga siri hadharani!Haki imetendeka maana mie namjuwa vizuri huyo jamaa tangu akiwa uraiani na hata alipokuwa gerezan Butimba Kama mahabusu maana nilijichanganya siku moja kisa mazingira ya kazi sasa ili kuonekana ni uhalisia nikaenda zangu Butimba siku 4 nililala chumba kimoja na huyo jamaa tena tukapiga na story sana tu baada kula maharage siku kadhaa nikatoka asubuhi na mapema bila remove oder na kirungu kimoja maana nilitka na namba za watu kwa ajili ya kufanya mawasiliano na ndugu zao waje kuwasaidia, Hivyo huyo J4 namjuwa fika alikuwa jeuri balaa kama alivyokuwa mwenzake Zakaria japo siku hizi ndio hivyo tena kama mnavyojuwa kifaranga kikipitiwa na mwewe huwa hakina Jeuri tena ni kuanza kuishi kwa matumaini ila sio kwa jeuri tena na uhakika
nipo kwenye boaboda siusikii vizuri ongeza sauti kidogo.Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.
Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
Niko nae hapa anapiga Serengeti lager km kawaida...sio msumbufu hata....nimemuonyesha post yako anasema huna pesa unatafuta kesi..ha aha ahakuna jamaa hapo mwanza mjini anaitwa Ukwaju, alikuwa anasumbua sana bar za kirumba miaka ya 2010 hivi bado yupo
alikuwa na nyumba yake ya ghorofa hapo mitaa ya ghana
Nimetamani usimulie zaidi mkuu.Na mabasi yake yalishafutika barabarani hayapo tena.
Ila pesa ni mwanaharamu, ilikuwa huyu bwana akiletwa mahamakani kuna watumishi fulani wa kitengo fulani cha kuwalinda watuhumiwa, walikuwa wanapewa pesa kidogo, then mke wa J4 anajifanya amepakatwa anamlisha mumewe chakula kumbe mzee anafungua suruali anapiga kimoja
Ukwaju karibu Mwanza, hahahahah
Weee mbona simple tu hakuna loloteHmm! Mbona unamwaga siri hadharani!
Umasikini na Gereza...ni vitu viwili ambavyo Mwanadamu hatakiwi kuvidhihaki
😁nimecheka itakuwa kweli upo nae ninavyomjua Ukwaju hayo ndo maneno yake sema hana makuu si mtu wa mvuruguNiko nae hapa anapiga Serengeti lager km kawaida...sio msumbufu hata....nimemuonyesha post yako anasema huna pesa unatafuta kesi..ha aha aha