Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Wakati wa Magu heshima ilikuwepo acheni hizi porojo zenu za kimwananyamala
Jibu swali! Kwanini waliokua na kesi za ufisadi waliachiwa kwa kulipa fine? Kwani mwizi akiiba pesa za kununulia MRI Scan unajua watu wangapi wataathirika kukosa huduma? Alafu huyo mtu akilipa fine tu anaachiwa. That was plea bargain enzi za JPM Sasa kuna tofauti gani na J4 kuachiwa kisa "pesa"??
 
Kinachoumiza kwenye kesi kama hizi, mawakili wenye weledi wanaenda kutetea wahalifu .

Hilo ndio tatizo langu na kibatala, japo ni wakili mzuri njaa zinafanya wakili unaenda kutetea wezi na wauwaji .
Samahani kiongozi kazi ya wakili ni kutetea wateja wa aina gani?
Tuanzie hapo kwanza
 
Samahani kiongozi kazi ya wakili ni kutetea wateja wa aina gani?
Tuanzie hapo kwanza
Mteja wa aina yoyote, ila Kuna vitu vinasikitisha sana, essence ya Justice Nini? Kila mtu anatakiwa kupata au kupokea malipo ya alichotenda.

Sio sahihi kutenda mauwaji Kwa kivuli Cha kutetewa na wakili, ingekuwa ivyo tungekuwa tumeuwana wote Dunia mzima.
 
Unaijua kiasi cha faini walizolipa?
 
Ni vema kujua sheria na mahakama zinafanyaje kaz kabla ya kuanza kubishana na kutukanana

Watanzania weng hua hatujui mahakama na wala hatuji kuongea mahakaman na wala hatujui lugha za kimahakama

Sasa inawezekana kwel mtu ukawa umetendewa kosa ila km hujui sheria na lugha na hujui mahakama inafanya vp kaz utashindwa tu kesi

Mahakamani hakuna hisia binafsi
Mahakamani hakuna huruma
Sasa wabongo weng tumetawaliwa na hisia na huruma
 
Unaijua kiasi cha faini walizolipa?
Faini inaweza fidia madhara mfano ya kuiba Hela ya kununua mashine za mionzi?

Mfano Lugumi unajua ni hasara Gani tumepata kwa kushindwa kunakili alama za vidole za majambazi sugu yaliyokua yanakamatwa? Hayo madhara yatokanayo yanafidiwa kwa mabilioni? Vipi maisha ya watu yaliyowekwa hatarIni?
 
Hivi ule mradi wake aliukamilisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, we tafuta hela acha makasiriko ambayo hayatakusaidia.
Pambana uikomboe familia yako
Kwa comment hii inaonesha Hauna akili kabisa kwamba pesa ndiyo itaweza Linda utu au uhai wa mtu. Jamaa kasema ukweli sio makasiriko tutapindisha sana huku duniani lakini damu ya mtu haijawakwenda bure
 
Kama ndugu zake wamelipwa fidia
 
Kama baba yako asivyo na akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kosoma comment yako hafu jiseme wewe ni mpumbavu. Kwamba
hujielewe na unashindwa kutofautisha kati ya mwanadamu na
Viumbe vingine. Yaani
Watu tunasemea uhai wa watu wewe unaleta habari za hela as if mtu ameku kuku kwamba unaweza mnunua Kwa Elfu 10. Aisee huko uliko watu Wanaoishi na wewe Wana moyo sana.
 
Uzuri wa watanzania huwa tunasimanzi, majonzi, hasira, uzalendo, uthubutu wa kusema tukiwa nyuma ya keyboard nyumbani kwetu tunaangalia tamthilia. Ile kuthubutu kudai haki kwa nguvu hatuna. Tuna ujinga mwingi sana kwenye hili taifa
 
Hawa jamaaaa, nahii nisababu kumekosekana wa kuwawajibisha .

Jambo la aibu sana hili ..yaan hata Katoto kadogo, kanajua hapa Kuna rushwa
Sio Kila sehemu unapoona pengo palitoka Jino, pengine nimwanya wa athiri.

Kwenu mahakama inatoa Haki wanapo fungwa watu, wakiachiwa mnaona ni Rushwa ,je mashahidi wenu yanaifahamu PGO? kumtia mtu hatiani sio lelemama kwa Polisi Hawa wasio jua hata muongozo wao wa kira siku.
Acha wafungwe wale wasio weza kulipa gharama za mawakili Bora na si Bora mawakili.
 
Mtindo wako wa uandishi unafanya jambo la maana kabisa unalotaka kulielezea lipungue nguvu. Je unaweza kuandika kwa mtiririko mzuri ni nini hasa kilitokea na ameachiwa kwenye mazingira gani?
Hakuna mtiririko mzuri hapa zaidi ya mhemko. Hukumu yenyewe hajaiona wara hajasoma zile hoja chache za msisitizo zinazo batirisha hukumu.
 
Upande wa utetezi mtuhumiwa alitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.

Kuna watu huwa wanabeza uwezo wa Kibatala kuwa hashindi kesi huyu jamaa ni moto
Ameshinda au rushwa imetumika kwa DPP.Yaan huyu mama Samia hana habari na watu masikini.Kuna issue nyingi sana za watu kupotezwa vituo vya Polisi lakin yupo kimya kabisa.
 
Nemevp
 
Ameshinda au rushwa imetumika kwa DPP.Yaan huyu mama Samia hana habari na watu masikini.Kuna issue nyingi sana za watu kupotezwa vituo vya Polisi lakin yupo kimya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…