Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah watu wawili harafu yupo mtaani...sawa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali! Kwanini waliokua na kesi za ufisadi waliachiwa kwa kulipa fine? Kwani mwizi akiiba pesa za kununulia MRI Scan unajua watu wangapi wataathirika kukosa huduma? Alafu huyo mtu akilipa fine tu anaachiwa. That was plea bargain enzi za JPM Sasa kuna tofauti gani na J4 kuachiwa kisa "pesa"??Wakati wa Magu heshima ilikuwepo acheni hizi porojo zenu za kimwananyamala
Samahani kiongozi kazi ya wakili ni kutetea wateja wa aina gani?Kinachoumiza kwenye kesi kama hizi, mawakili wenye weledi wanaenda kutetea wahalifu .
Hilo ndio tatizo langu na kibatala, japo ni wakili mzuri njaa zinafanya wakili unaenda kutetea wezi na wauwaji .
Mteja wa aina yoyote, ila Kuna vitu vinasikitisha sana, essence ya Justice Nini? Kila mtu anatakiwa kupata au kupokea malipo ya alichotenda.Samahani kiongozi kazi ya wakili ni kutetea wateja wa aina gani?
Tuanzie hapo kwanza
Unaijua kiasi cha faini walizolipa?Jibu swali! Kwanini waliokua na kesi za ufisadi waliachiwa kwa kulipa fine? Kwani mwizi akiiba pesa za kununulia MRI Scan unajua watu wangapi wataathirika kukosa huduma? Alafu huyo mtu akilipa fine tu anaachiwa. That was plea bargain enzi za JPM Sasa kuna tofauti gani na J4 kuachiwa kisa "pesa"??
Faini inaweza fidia madhara mfano ya kuiba Hela ya kununua mashine za mionzi?Unaijua kiasi cha faini walizolipa?
Hivi ule mradi wake aliukamilisha?Faini inaweza fidia madhara mfano ya kuiba Hela ya kununua mashine za mionzi?
Mfano Lugumi unajua ni hasara Gani tumepata kwa kushindwa kunakili alama za vidole za majambazi sugu yaliyokua yanakamatwa? Hayo madhara yatokanayo yanafidiwa kwa mabilioni? Vipi maisha ya watu yaliyowekwa hatarIni?
Kwa comment hii inaonesha Hauna akili kabisa kwamba pesa ndiyo itaweza Linda utu au uhai wa mtu. Jamaa kasema ukweli sio makasiriko tutapindisha sana huku duniani lakini damu ya mtu haijawakwenda burePole sana, we tafuta hela acha makasiriko ambayo hayatakusaidia.
Pambana uikomboe familia yako
Kama baba yako asivyo na akiliKwa comment hii inaonesha Hauna akili kabisa kwamba pesa ndiyo itaweza Linda utu au uhai wa mtu. Jamaa kasema ukweli sio makasiriko tutapindisha sana huku duniani lakini damu ya mtu haijawakwenda bure
Kama ndugu zake wamelipwa fidiaMfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya mfanyabiashara huyo.
J4 alitiwa hatiani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya kukusudia ya Ali Abeid na Claude Sikarwanda, hukumu iliyotolewa Machi 13, 2020 na Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu Mwanza, Sam Rumanyika.
Hata hivyo Mahakama ya Rufaa ilibatilisha adhabu hiyo na kutengua hukumu ya Mahakama Kuu Mwanza,iliagiza kesi hiyo jinai namba 131/2017 isikilizwe upya.
Mahakama imemwachia huru leo, baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo. Upande wa utetezi mtuhumiwa alitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
------
Nyie Mahakama acheni kuona watu ni mbuzi, Acheni Rushwa, Rushwa ni adui wa haki, Rushwa anatesa, Rushwa anaumiza watu
Hivi mtu aliyeua watu wawili kwa risasi , watu wamekufa, wamezikwa , na mmemhukumu kunyongwa hadi kufa, leo hiii kisa rufaa, kwamba meza imepinduka? Mpaka aachiwe huru?
Mbona mnakoswa huruma nyinyi?? Mbona hamuwakumbuki watu walowapoteza wapendwa wao? Tunarudi wapi?
Huu ndo utawala wa Rais Samia, wenye kufuata misingi ya Demokrasia?
Haya basi, jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi, mtufufulie ndugu zetu walouawa basi, na sisi tucheze nao, tupige nao stori, likiwashinda hilo, basi tuambiani, walowaua ndugu zetu wawili kwa risasi ni akina nani?.
Mambo ya ajabu kabisa na aibu ilopitiliza.
Mnatanguliza rushwa mpaka kwenye maisha ya watu, kama mlimuhukumu kunyongwa, leo hii inakuaje mnakoswa nia ya kuendelea na kesi? Kwamba hakukutokea tukio la mauaji? Kwamba hamna aliyekufa? Na kama alikufa nani alimuua?? Kama sio Jumanne, ni nani aliwaua?? Kama ni yeye, imekuaje aachiwe huru? Mtufufulie ndugu zetu .
Shame on you!! Rushwa rushwa mpaka mnauza roho za watu??
Wapumbavu kabisa , mlaaniwe na vizazi vyenu, na hizo rushwa mnazokula, pesa hizo ziendelee kuwapa umasikini wa roho na mpoteze heshima mbele ya watu .
Huyu jamaa alihukumiwa hapa !![emoji116]
Leo kaachiwa Huru, ila Polisi wamejifanya kumkamata Tena, ili kupima upepo, ili hali JAMHURI ndio hiyo hiyo Polisi !!
Rudia kosoma comment yako hafu jiseme wewe ni mpumbavu. Kwamba
SurelyHapana we unamwongelea Super Sammy
Sio Kila sehemu unapoona pengo palitoka Jino, pengine nimwanya wa athiri.Hawa jamaaaa, nahii nisababu kumekosekana wa kuwawajibisha .
Jambo la aibu sana hili ..yaan hata Katoto kadogo, kanajua hapa Kuna rushwa
Hakuna mtiririko mzuri hapa zaidi ya mhemko. Hukumu yenyewe hajaiona wara hajasoma zile hoja chache za msisitizo zinazo batirisha hukumu.Mtindo wako wa uandishi unafanya jambo la maana kabisa unalotaka kulielezea lipungue nguvu. Je unaweza kuandika kwa mtiririko mzuri ni nini hasa kilitokea na ameachiwa kwenye mazingira gani?
Ameshinda au rushwa imetumika kwa DPP.Yaan huyu mama Samia hana habari na watu masikini.Kuna issue nyingi sana za watu kupotezwa vituo vya Polisi lakin yupo kimya kabisa.Upande wa utetezi mtuhumiwa alitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
Kuna watu huwa wanabeza uwezo wa Kibatala kuwa hashindi kesi huyu jamaa ni moto
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya mfanyabiashara huyo.
J4 alitiwa hatiani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya kukusudia ya Ali Abeid na Claude Sikarwanda, hukumu iliyotolewa Machi 13, 2020 na Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu Mwanza, Sam Rumanyika.
Hata hivyo Mahakama ya Rufaa ilibatilisha adhabu hiyo na kutengua hukumu ya Mahakama Kuu Mwanza,iliagiza kesi hiyo jinai namba 131/2017 isikilizwe upya.
Mahakama imemwachia huru leo, baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo. Upande wa utetezi mtuhumiwa alitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
------
Nyie Mahakama acheni kuona watu ni mbuzi, Acheni Rushwa, Rushwa ni adui wa haki, Rushwa anatesa, Rushwa anaumiza watu
Hivi mtu aliyeua watu wawili kwa risasi , watu wamekufa, wamezikwa , na mmemhukumu kunyongwa hadi kufa, leo hiii kisa rufaa, kwamba meza imepinduka? Mpaka aachiwe huru?
Mbona mnakoswa huruma nyinyi?? Mbona hamuwakumbuki watu walowapoteza wapendwa wao? Tunarudi wapi?
Huu ndo utawala wa Rais Samia, wenye kufuata misingi ya Demokrasia?
Haya basi, jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi, mtufufulie ndugu zetu walouawa basi, na sisi tucheze nao, tupige nao stori, likiwashinda hilo, basi tuambiani, walowaua ndugu zetu wawili kwa risasi ni akina nani?.
Mambo ya ajabu kabisa na aibu ilopitiliza.
Mnatanguliza rushwa mpaka kwenye maisha ya watu, kama mlimuhukumu kunyongwa, leo hii inakuaje mnakoswa nia ya kuendelea na kesi? Kwamba hakukutokea tukio la mauaji? Kwamba hamna aliyekufa? Na kama alikufa nani alimuua?? Kama sio Jumanne, ni nani aliwaua?? Kama ni yeye, imekuaje aachiwe huru? Mtufufulie ndugu zetu .
Shame on you!! Rushwa rushwa mpaka mnauza roho za watu??
I
Wapumbavu kabisa , mlaaniwe na vizazi vyenu, na hizo rushwa mnazokula, pesa hizo ziendelee kuwapa umasikini wa roho na mpoteze heshima mbele ya watu .
Huyu jamaa alihukumiwa hapa !!👇
Leo kaachiwa Huru, ila Polisi wamejifanya kumkamata Tena, ili kupima upepo, ili hali JAMHURI ndio hiyo hiyo Polisi !!
Hakuna mtiririko mzuri hapa zaidi ya mhemko. Hukumu yenyewe hajaiona wara hajasoma zile hoja chache za msisitizo zinazo batirisha hukumu.
Ameshinda au rushwa imetumika kwa DPP.Yaan huyu mama Samia hana habari na watu masikini.Kuna issue nyingi sana za watu kupotezwa vituo vya Polisi lakin yupo kimya kabisa.