Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu
See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Singida then igunga then nzega then shinyanga ndo uitafute mwanza
 
Ukifika mwanza utakutana na ukarimu kuanzia stand. Nyumba za kulala wageni utapelekwa kwa gari bila kulipia na hata siku ya kuondoka utarudishwa stand.
 
Rudi Kwenu we mlozi
Kwetu unakujua wewe?[emoji35][emoji3]
20230508_195221.jpg
 
Back
Top Bottom