Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

mbona wanasiasa wana maigizo mengi hivi lah!!
 
Kwani ni siri chama cha upinzani kutaka madaraka? CCM hamuwezi kuipangia CDM ajenda. Kama kweli agenda ya Katiba haina mashiko, kwa nini mnatumia nguvu zote hizo kuwazuia wasiijadili?

Amandla...
 
Waaachien huru
 
Namba ya mchango wa kuwachangia makamanda wetu huko walikoshikiliwa ni 0777 830 0000,Jina litatokea Mdude Chadema,tuchangie kwa haraka makamanda
We mdini naona mjahidina mwenzako kashika nchi umerudi kwa kasi..
Hata zito kabwe kapiga kimya kwa mjahidina..
 
Jina lako tu linaonyesha wewe ni polisi unayefuata upepo wa mabwana zako unaelekea wapi. Wapo Polisi wenye akili watakufafanulia hapo kituoni kwako Mwahumbi ili uache ujinga. Hujui hata mamlaka ya Mkuu wa mkoa kuhusu ukamataji yakoje na yanalindwa na sheria gani halafu unabwabwaja hapa!
 
Mnasubiri nini kuingia road ?
 
Hivi wamkamate mbowe hamna hata mtu mmoja aliyepiga picha? hata kurekodi tukio kwa simu kweli? yaani wamemkamata mbowe na walinzi wake au? na wao hawakuonyesha resistance? yaani hapakuwa na kurupushani? watu wakanyage mlango na usivunjike? lilikuwa pazia la dela? kuache kuspin mambo ya kitoto.

Gari lake bado liko hapo hotelini dereva yeye yuko wapi? Huyu jamaa aache ubrazamen keshakuwa mtu mzima sasa. Yeye ana chanjo ya korona tena ile ya grade one halafu analeta mikusanyiko Mwanza yaani watu wafe kwa korona apate cha kusema!

Huyu jamaa anafanya propaganda atuondoe kwenye agenda ya miamala, kama kweli anajua kupigania haki za kikatiba siakawaondoe covid19 bungeni kama kashindwa kusimamia katiba kukuu hiyo mpya ndio ataiweza? wacheni kutufanya hamnazo.
 
Mimi ni kiumbe dhaifu kwa maana alivyo niumba Mungu na udhaifu wangu nitakuwa dhaifu hadi naingia kaburini.

Nyie mlimlinganisha huyo mfadhili wenu na yesu na mtume hivyo lipeni ghalama za kutukuza
wee nyegere, si ndio ulikataa kuitwa mnyonge mwenzie na mwendazake!!!

leo unajiita dhaifu[emoji16][emoji16]

mama piga hawa kenge, wameanza kuimba vizuri.
 
Fuateni Sheria na maelekezo yanayotolewa na Serikali mtakua salama Ambition za kisiasa mlizo nazo is a great problem
 
wee nyegere, si ndio ulikataa kuitwa mnyonge mwenzie na mwendazake!!!

leo unajiita dhaifu[emoji16][emoji16]

mama piga hawa kenge, wameanza kuimba vizuri.
Tatizo lako ni asili ya uraia wako maana mnyarwanda na kiswahili ni sawa na mbingu na ardhi.
 
Bwege wewe! Mbowe ana tatizo gani? Kudai katiba mpya? Wangeachwa wakafanya mkutano wao ubaya gani ungetokea?
Tena walikuwa wanajadili kama ilivyo mikutano ya ndani tu. Wapo kwenye ukumbi wa Hoteli na sio kwenye hadhara ya mikutano ya nje.

Mimi naona hivi wanavyowakamata ndio kama wanawapa promo ya matangazo ya bure Dunia nzima
 
Kwanza kuna sheria gani inayompa mamlaka RC kuzuia mikusanyiko?
Je unakamata mtu hotelini kwa kosa gani tena usiku.

Kwa namna hiyo utaona serikali yetu ina upumbavu fulani .

Yaani kwenye mambo ya msingi viongozi hawana uharaka kwenye kufanya maamuzi lakini kushambulia wapinzani Inatumika nguvu na rasilimali nyingi bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…