Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

CCM hawataki amani
 
Kwani ulifatwa nyumbani? Au waliosema kuhusu Tozo walikuwa Chadema? Kulia kwa ngoma kuna mtu kapiga.
 
Wewe utakuwa unasihi kuzimu au?? Hivi Tanzania hii unatofautisha vipi Mahakama,Samia,Polisi na CCM??
 
Next time usiandike kwaio. Unapunguza watu kukuchukulia serious kwenye pumba zako
 
Mtaji wa CHADEMA ni jinai za kijinga

USSR
 
Acheni kuipa katiba majukumu yasiyo yake Africa shida sio katiba ila ni umaskini uliokithiri mno, mbona nchi yetu Ina sera nzuri na Bado hazitekelezeki pia, hata katiba hii tunaona magufuli alikuwa ana vunja katiba waziwazi na hakuna aliyekuwa ana mwambia lolote. Tanzania needs more than constitutional kututoa kwenye huu umaskini wetu, mbona south Wana katiba nzuri kweli wamebaki kuandamana na kuiba plus uhalifu na weusi umaskini wao umebaki palepale
 
CCM wanaogopa hoja ya katiba.....CDM shikeni hqpo hapo hadi dunia nzima ijue kwamba hata kuongea tu kuhusu katiba hairuhusiwi...
 
Katiba yetu Ni ya hovyooo.... Rais Ni zaidi ya Mungu..
 
Hongereni jeshi la police kwa kudumisha amani na usalama.
 
Hili nalo lazima liwekwe sawa. Maana sio kila kinachofanyika ndani ya ukumbi ni mkutano wa ndani wa wa chama.

Kwa mantiki hii vyama vya upinzani viwe makini kutenganisha mikutano ya hadhara inayofanyikia ndani

Nawasilisha.
Wapigwe tu tumechoka na upuuzi


USSR
 
Wote wakirsto ndiyo maana wanaleta vurugu siku Eid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…