Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Kwa sasa Kulalamika hakusaidiii,pia kudhani kwamba matukio ya kukamatwa viongozi wa kisiasa na kuripotiwa na vyombo vya kimataifa ni suluhisho,hapana vyombo vya kimataifa kwa sasa vinataka kuona hatua zaidi kuonekana kutoka kwa wafuasi wa viongozi hao siyo kuishia kuandika"FreeSomeOne".Tutambue vyombo vya kimataifa na mataifa wanataka kuona hasira za wafuasi na wananchi kudai na kupinga viongozi kuachiwa.sasa hatua kwa sasa ni moja Maandamano nchi nzima mithiri ya S.Afrika.We born once and Die Once no matter it cost.
 
Hao wanafanya kitchenparty,bladifaken punguani wahed
 
Peaneni tu hati za kuimiliki tanzania ilihali mkiwadhulumu wengine na kukiuka sheria,halafu mkiwadhihaki raia,kwani hui kwenu ndio uzalendo.
Tuelekeze nguvu zetu kwenye uchaguzi 2025, CCM itoke madarakani.
 
pumbavu.....mlikuwa kimya hapa enzi za mwendazake.

mama kaja na usataarabu na kuwaachia vijana wenu kibao kutoka kifungoni mnataka kumletea za kuleta!! natamani akaze zaidi.....andamaneni tukutane!
 
Yule kenge wenu alianzisha maandamano 2020 alifanikiwa ,Mange kimambi alifanikiwa ? maandamano yenu kwenye mitandao mlikuwa mkoo juu ,ila fujo zenu za hivi karibuni vijana wengi wameanza kuwananga pia ,na mkishakataliwa kwenye mitandao sijui mtaenda nchi gani?labda machame ijitenge iwe ni nchi kamili.
 
Wakamatwe tu, maana hawana nia njema na taifa letu.
 
unapomwambia mtu atake asitake utafanya utakacho sasa yeye akifamya mnaanza tia huruma
 
Kwani mikoa iliyopita kulikua na maandamano??
Kama walitaka kufanya maandano bila kibali ni sahihi kusitishwa lakini kama ni kongamano kama ilivofanyika mikoa mingine aisee wameonewa sana.

Ni mkutano wa ndani ya chama why wasumbuliwe namna hiyo.
 
Kwa hiyo umeamua kuwaza kwa niaba ya CHADEMA?Ulipanga nao mipango ijayo au unabuni na kuhisi tu?
 
We n mpuzi tu, hivyo tunapasws kukupuza!!
 
Miingoni mwa wajinga umo
 
unapomwambia mtu atake asitake utafanya utakacho sasa yeye akifamya mnaanza tia huruma
Under what act in our current constitution that prohibit political activities in the nation? The President has no power to prohibit political activities in the nation. Unless we seek for the new constitution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…