Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Wa
Makengeza Mbowe anapampiwa na Nyapara kamanda uko huku unapiga kabobo badala ukaandamane 🤣
Wajinga wa aina hii ndio wanaifanya nchi yetu kushindwa kuendelea. Wewe hujui hata kama unadhulumiwa na mfumo uliopo? Huyo Mbowe ni tajiri wa kujitosheleza angeliweza kukaa tu na kula na kunywa lakini anatetea washenzi tele na bado hawamuelewi.
 
Jeshi limekosea sana aiseee

lingewaacha liwavamie wakiwa katika kongamano lako liwachezeshee kipigo mpaka wachakae!
 
Wa

Wajinga wa aina hii ndio wanaifanya nchi yetu kushindwa kuendelea. Wewe hujui hata kama unadhulumiwa na mfumo uliopo? Huyo Mbowe ni tajiri wa kujitosheleza angeliweza kukaa tu na kula na kunywa lakini anatetea washenzi tele na bado hawamuelewi.
Sasa kama makengeza Mbowe ni tajiri wa kujitosheleza mbona yeye hajadhulumiwa na mfumo uliopo mpaka kawa tajiri ?

Tena agongweee mpaka macho yanyoooke aone vizuri.
 
AENDELEE KUONGEA

utawala wa maza niwakijambazi sana aache udelila
 
Samia Hawa washauri wake kina mwigulu wanataka kumuharibia, alishaanza kujitengenezea sifa nzuri kimataifa, anaanza mapema kujiharibia aisee, kikwete amshauri huyu mama kuwa masalia wa dikteta wanataka kumuharibia mama, wapinzani inatakiwa kupambana nao kwa hoja Kama kipindi Cha ccm hile ya kina NAPE na Kinana
 
Tukikuwa tunawaambia humu!
.
Walishanhilia kifo cha JPM eti sasa wanapumua
Mtu kanichukulia milioni 370 yangu.
Mtu "kawapoteza" jamaa zangu wawili.
Mtu kaharibu biashara yangu ya korosho na kunisababishia hasara ya mamia ya mamilioni.
Mtu kaharibu mfumo wa biashara nchini na kusababisha nisifikie malengo yangu.
Huyo mtu akifa nisishangilie!!???
Mungu yu Mwema, kila wakati Mungu Yu Mwema.
Kamwe hatutaacha kumlilia na Yeye Yahweh hatuachi bila kutufuta machozi.
 
Kwani tozo za simu zinahusu katiba mpya inayodaiwa na makengeza Mbowe?

Si umesema unataka uone wananchi wanaoshinikiza katiba mpya? Je unataka uwaonee wapi? Huko ulipowaonea walioshinikiza kugomea tozo za simu, ndio huko huko utawaonea kwenye madai ya katiba mpya.
 
B
Sasa kama makengeza Mbowe ni tajiri wa kujitosheleza mbona yeye hajadhulumiwa na mfumo uliopo mpaka kawa tajiri ?

Tena agongweee mpaka macho yanyoooke aone vizuri.
Basi bwana nimeelewa kuwa wewe ni wale watu wa ghamboshi mna matatizo yenu mnahitaji kupewa muda pengine siku moja mtapata akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…