Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
acha ukike na wewe ni uchonganishi ni lini Mbowe katulia kuwatetea watanzania wanaoonewa tena hasa kipindi cha mwendazake na bado anasimamia haki inayovunjwa na watawala wa ccm
 
Kama uhuru wa kufanya siasa walio kuwa wanautaka Chadema ndio huu wa kuchochea na kuhamasisha vurugu basi hayati JPM alikuwa sahihi kabisa kuwabana maaana wamethibitisha kwa matendo yao na matamko yao.
kwa kauli zilizo tolewa mara kadhaa na viongozi wa Chadema ilipaswa Msajili akifute kabisa Chadema.
 
Si umesema unataka uone wananchi wanaoshinikiza katiba mpya? Je unataka uwaonee wapi? Huko ulipowaonea walioshinikiza kugomea tozo za simu, ndio huko huko utawaonea kwenye madai ya katiba mpya.
Kwahiyo hakuna kuandamana tena 🤣
 
Hii nchi sio genge la wahuni, kila mtu afanye anavyotaka, lazima zifatwe taratibu.
 
Hii haikubaliki. Mama na Sirro kokote waliko na wajue hivyo.

Kwa hapa si haba wakajua kuwa wamechagua mfarakano. Tunayo njia ipi zaidi ya kuwakubalia?
 
Hivi DJ mbona amekuja kasi sana kipindi hiki cha Mama, anamwonea mama! Anamchukulia poa siyo? Mbowe aache vurugu! Nchi inataka amani na mshikamano!
unawez kutuelezea ni vurugu za namna gani alizofanya mbowe?
 
Tulipumzika. Mshaanza chokochoko..! Tuacheni na Mwanza yetu tusherekee sikukuu jamani. Mmetusababishia mpaka baadhi ya barabara zimefungwa hapa...
 
Reactions: mmh
Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
sisi sio matajiri tena kama alivyokuwa anasema yule marehemu?
 
Wote ni wateule!!
 
Usitishie watu kufa, hata wewe utakufa, mbowe atakufa, hakuna atakaeishi milele, na usifikiri Jiwe kelele zenu ndio zilimuondoa duniani, ni wakati wake tu ulikua umefika. Kuanza kutishiana vifo ni kuishiwa Sera.
RC amepiga marufuku mikusanyiko nyie mnataka kukutana, hapo kuna uonevu gani? Au mlitaka wawaache ili ionekane dola ni dhaifu?
Huku ni kuishiwa, tafuteni alternative nyingine.
 
Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Watu wanapotendewa mbaya wewe unanufaika na Nini!....kama miTOZO tunalipa wote au wenzetu mna exemption
 
sweka ndani wote na mjinga atakayesogea eneo la tukio vunja magoti kabisa...

badala muhamasishane kutafuta hela mnahamasishana ujinga tu kila siku halafu baada ya hapo mnaomba michango...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…