Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea mchezo wa soka wa Yanga na Simba.
Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.
Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.
Pichani: Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.