Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Jeshi hili hili lililokuwa linawadhibiti CHADEMA kufanya mikutano leo linashindwa kudhibiti uvaaji wa fulana za katiba mpya au limeamua kuacha tu?
Mkiachwa mnasema polisi wameshindwa kidhibiti mkidhibitiwa mnasema hakuna demokrasia. Sijui mahitaji yenu ni nini hasa
Tuanze nawe, wewe mahitaji yako ni nini?
 
Kuna mahali nimeeleza kuhusu sare hapo?
Uwezo wako ni mdogo wa kuelewa hoja na usipobadilika huwezi kusaidia chama tunachotamani kiwe mbadala wa chama tawala

Nazungumzia timing eneo sahihi na namna bora kuwasilisha ujumbe ufikie makundi yote bila kugawa wafuasi
wafuasi wamegawiwa wapi? Yaani wewe kinachokuchanganya ni hizo uniform nyekundu😀
 
Back
Top Bottom