Maelezo mengi ugoro mtupu
Pathetic mtu yeyote anaetaka kutumia maisha ya maskini kama human shield ni katili.
Ndio kama Mbowe kila saa tukiamua hii nchi aitotawalika amrudishe Godfrey kwanza kutoka marekani amuweke mstari wa mbele kabla ya kuwaweka watoto wa wenzake idiot.
Uwezi kumsikia kiongozi wa CCM ata siku moja ataingiza watu mtaani kwa sababu ya nafasi ya uongozi.
CDM uchaguzi uliopita imeua wagombea wake Mfindi na Mbeya ili tu wapate international attention.
Tena sio maswala ambayo yalipata local wala international Media ni Magufuli ndiyo yalimkera na akayaibuwa.
Ni wehu tu ndio wanaweza kuwa wafuasi wa CDM na raisi wa ovyo kama Bi Tozo anaweza kuwapa platform.
CDM na viongozi wake ni ovyo kweli kweli; na mtu ambae aliewaweza kuwapa huduma inayoendana na tabia za chama chenu ni Magufuli.
Yeyote anae support movement za CDM ni mwehu.
Vita ya Tanzania ni wahuni; sio vyama vya siasa visivyojitambua. Ikiwezekana msajili afutilie mbali vyama vyote tuna matatizo makubwa zaidi ya watu kama hakina Jakaya Kikwete na genge lake la wahuni kutuchukulia poa watanzania karibu millioni 60.