Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Maelezo mengi ugoro mtupu
Pathetic mtu yeyote anaetaka kutumia maisha ya maskini kama human shield ni katili.

Ndio kama Mbowe kila saa tukiamua hii nchi aitotawalika amrudishe Godfrey kwanza kutoka marekani amuweke mstari wa mbele kabla ya kuwaweka watoto wa wenzake idiot.

Uwezi kumsikia kiongozi wa CCM ata siku moja ataingiza watu mtaani kwa sababu ya nafasi ya uongozi.

CDM uchaguzi uliopita imeua wagombea wake Mfindi na Mbeya ili tu wapate international attention.

Tena sio maswala ambayo yalipata local wala international Media ni Magufuli ndiyo yalimkera na akayaibuwa.

Ni wehu tu ndio wanaweza kuwa wafuasi wa CDM na raisi wa ovyo kama Bi Tozo anaweza kuwapa platform.

CDM na viongozi wake ni ovyo kweli kweli; na mtu ambae aliewaweza kuwapa huduma inayoendana na tabia za chama chenu ni Magufuli.

Yeyote anae support movement za CDM ni mwehu.

Vita ya Tanzania ni wahuni; sio vyama vya siasa visivyojitambua. Ikiwezekana msajili afutilie mbali vyama vyote tuna matatizo makubwa zaidi ya watu kama hakina Jakaya Kikwete na genge lake la wahuni kutuchukulia poa watanzania karibu millioni 60.
 
Maelezo mengi ugoro mtupu
Bora uchague upande mwema kwasababu kuna nguvu juu yetu; sasa uziite hizo ni nguvu za mungu au whatever higher powers.

Muhimu ni kuelewa sio sahihi kunufaika kwa shida za wenzako.

Ila watu tupo tofauti binafsi siwezi kupata usingizi nikielewa mafanikio yangu yanatokana na kuchukua hela ya mtu mwingine haswa mwenye maisha duni kwa dhulma.

Aiwezekani gharama za kuhudumia serikali ya Tanzania iwe kutoka kwa watu maskini.

Hivi kweli unaweza toza kodi watu wenye kipato cha chini na kutumia hela za maskini kuwafurahisha wenye nacho mradi tu ufurahushe kundi la kuku unga mkono ubaki tu madarakani.

Huyo mama yenu ni shetani tu mwenye uchu wa madaraka yaliyomngea anataka kubaki kwa vyovyote vile.

Natafuta video ya kipindi cha ITV za changamoto ya vijana wanaolala mtaani, sasa afadhali ya vijana humo kati yao kuna watoto tena tunaonyeshwa wanalala katikati ya barabara kwangu mimi mtoto ni innocent na hakuna priority kwenye maisha yangu kama mtoto.

Mtoto ni innocent victim of circumstances ambao lazima walindwe kwa nguvu zote for a simple reason they are just ignorant beings.

Mtoto hana hatia anajikuta tu kwenye mazingira na anatakiwa kulindwa kwa nguvu zote; bora wakubwa tulale njaa kuliko mtoto alale barabarani aiwezekani.
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Unafiki kama kawaida yenu. Eti wananchi wa Mwanza. Au unaogopa ukisema vijana wa Chadema itakosa mvuto?
 
Makasiriko ya Chief Hangaya akisikia neno 'katiba mpya'😁😁😁
16528051820300.jpg
 
Hauna ka video au ka picha kakionesha tukio la kuzuiliwa kuingia uwanjani.?
Achana na huyo John Pambalu, kazi yake ni uzushi tuu, hao watu Saba ndo jeshi la polisi lilipambana nao likashindwa? Yeye kama kapiga picha kutuonesha fulana sawa siyo tatizo, hao polisi wako wapi wakiwazuia hao watu?
 
Ndugu acha uongo, kuna mwananchi yeyote alilidhibiti jeshi la polisi pale uwanjani????? Niwao tu waliamua kuwaacha waingie wala hakuna mwananchi aliyelidhibiti jeshi la polisi.
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Safi sana wanamwanza kwa kuonesha njia.
 
Samia amekuza demokrasia na hawa tunawaona na hizi fulana nyakati hizi.

Zingekuwa ni enzi za hayati hata hao saba hizo fulana wangezivalia sebuleni kwao, usiku baada ya kuoga wakisubiri chakula.
 
Hawa Policcm hawajui kabisa wanalofanya- wanamharibia Mama kupata tuzo ya Mo na ya Nobel.
 
Kwa hiyo ulitaka waingie saa ngapi na waingie wangapi wangapi na wakakae wapi? Yaani hela wajilipie halafu uwapangie cha kuvaa? Halafu dude kama hili linajiita great thinker kumbe great sinker.
Endekezeni huu upuuzi huku chama kinazidi kuonekana FUTUHI, kuna kipindi hata mimi niliwahi kuiona CHADEMA ambayo sasa haipo tena.
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani: Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Hivi kama wananchi ndio wanataka katiba mpya- fulana za kuwaonyesha wananchi zinamaana gani?
 
Tatizo sio kuvunja sheria CDM ni attention seekers.

Siasa kama ilivyo taaluma nyingine yeyote zina kanuni zake za mchezo ata kama hazipo kisheria.

CDM wao kila wakipata fursa wanatafuta sababu ya kuongelewa, watajipiga mabomu waseme polisi wamewarushia, wataingiza siasa sehemu ambazo wananchi wanaenda ku sociliase.

Ata CCM awashindwi kumpeleka Shaka au wenyeviti wa mkoa kila mechi ya mpira kuwahadaa wananchi mama anaupiga mwingi, wana watu na hela ya kufanya ivyo

Sio mpirani tu wanaweza ingilia kila graduation ya kuanzia chekechea mpaka za university kuwaambia mwenyekiti wao anaupiga mwingi.

Lakini wanaelewa propaganda zina mipaka, yes Simba na Yanga zilijipendekeza kusifia royal tour lakini hakuna kiongozi wa CCM aliejiweka kati wala wanachama wao katika harakati hizo; kama walihusika ni nyuma ya pazia.

Viongozi wa CDM wao hawana akili hizo kila sehemu wao wenyewe wanaingiza harakati zao kama chama ata mahala ambapo sio sahihi, na wanajua kabisa ni uchokozi isipokuwa wanachotaka ni kuongelewa.

Mechi ya Simba na Yanga inahusika vipi na siasa za kuamasisha katiba, kama sio uchokozi. Kwani CCM ingeshindwa nayo kutumia fursa hiyo kupitia makada wake kwenda kuwaambia mashabiki maza anaupiga mwingi.

Siasa zina mipaka, CDM yakuchekewa ailewi hilo somo; wenyewe mpaka wamtie mtu kidole cha jicho ajibu kwa kuwatangwa ngumi ndio siasa wanazoelewa.

Ngoja tuone bi tozo na siasa zake anazodhani CDM ni waungwana wanaostahili kwenda nao kistaarabu.

Sihitaji kukwambia ata yeye soon atawachoka kwa siasa zenu za ovyo ovyo ambazo azivumiliki popote duniani.

Pathetic CDM
Katiba mpya inakuja
 
Hizo ni mentality zako za hovyo. Wale wamevaa Jezi za Simba?
Kuna mahali nimeeleza kuhusu sare hapo?
Uwezo wako ni mdogo wa kuelewa hoja na usipobadilika huwezi kusaidia chama tunachotamani kiwe mbadala wa chama tawala

Nazungumzia timing eneo sahihi na namna bora kuwasilisha ujumbe ufikie makundi yote bila kugawa wafuasi
 
Hata kama kuna nisichojua , lakini siwezi kufundishwa na mtu duni kama wewe .
Uwezo wako mdogo wa kufikiri unakufanya udharau watu usiowajua
Hutahitaji uchawa kwa upinzani Wala chama tawala
Sio kusapoti kila kitu bila kutumia akili kwa Sababu tu ni chama chako
Unakuwa husaidii
 
Back
Top Bottom