Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Hapa hekima na busara ilikosekana kwa chama kuegemea upande mmoja wa timu pinzani,
Wakati mwingine tafuteni fulana zisizo fungamana na upande wowote, hata bluu si rangi ya chama? Au bora msishiriki kabisa
Hapa mmefeli na kupoteza tena kwa kushindwa kubalance Mambo.
Najiuliza chama hakina washauri wazuri
Au kila mtu anajiamuliaga kivyake!!??
Hakuna aliyeegemea. Hata ikicheza Yanga na Brazili Rangi ya Katiba Mpya haitabadilika. Acheni kijikita kwneye rangi ya nguo badala ya ujumbe wa wahusika.
 
Mpira sio kongamano la harakati, kama ni mashabiki na hawana nia ovu iweje waingie kwa pamoja na kukaa kikundi?
Kwa hiyo ulitaka waingie saa ngapi na waingie wangapi wangapi na wakakae wapi? Yaani hela wajilipie halafu uwapangie cha kuvaa? Halafu dude kama hili linajiita great thinker kumbe great sinker.
 
Mkuu watu wakivaa tisheti zao za Katiba Mpya wewe kama wewe unapungukiwa nini au unaathirika nini?? Hivi na nyie wafuasi wa Hangata hamjajifunza tu kwa yaliyopita gang?
Kabla ya kutambua kwamba siasa ni Maisha , tulipokuwa tunafanya siasa majukwaani , wasioelewa walitushambulia kwa maneno ya kijinga "mmeshiba nyie " wakidai kwamba " tuache kuwatafutia watoto wetu ugali tusikilize siasa " yaani wao kitu muhimu kwao ni kula tu ! , hawakujua kwamba Tozo zinaletwa na wanasiasa .
 
Sasa wameishia kulalamika. Wengine walisema huyo Mbowe aache fujo, huyo mbowe wacha wamnyoshe. Sasa ameenda ikulu tena wanalalamika kwanini Mbowe anaenda Ikulu.😀😀😀
 
Sasa wameishia kulalamika. Wengine walisema huyo Mbowe aache fujo, huyo mbowe wacha wamnyoshe. Sasa ameenda ikulu tena wanalalamika kwanini Mbowe anaenda Ikulu.[emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseeee !!
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Yaani wamependezaa
 
Hakuna aliyeegemea. Hata ikicheza Yanga na Brazili Rangi ya Katiba Mpya haitabadilika. Acheni kijikita kwneye rangi ya nguo badala ya ujumbe wa wahusika.
Hujitambui na kama ndo mawazo ya viongozi pia ni wajinga wa kuwasilisha ujumbe
hekima ni kuwa na uwezo wa katambua alama za nyakati na majira , pia namna ya kuwasilisha ujumbe kwa makundi yote , ndo maana nikasema kulikuwa na option ya kutokuhudhuria pia ,
Kuliko kugawa wafuasi wenu
,Hadi matangazo ya bia yamewazidi akili namna ya kuwasilisha ujumbe,
Fuatilia uone wanafikisha ujumbe kwa namna ambayo makundi na timu zote wanaupokea bila kukwazika
Wakati mwingine jipangeni
Namna kutoa ujumbe kwa wote au tafuteni ushauri kwanza hamjui kila kitu
 
Katiba mpya Ni muhimu kwa watanzania wote anayebisha labda awe fisadi big up sana vijana kwa kujitoa mhanga
 
Mageuzi yoyote duniani mara nyingi hufanywa na kikundi kidogo kinachowakilisha kundi kubwa. jifunze!
Kwa sasa wanapigania matumbo yao wakianza kupigania wananchi katiba itapatikana. Alafu sio lazima ueleww kila kitu au kila mtu ili umuone ana akili basi awaze kama unavyotaka wewe.
 
Hujitambui na kama ndo mawazo ya viongozi pia ni wajinga wa kuwasilisha ujumbe
hekima ni kuwa na uwezo wa katambua alama za nyakati na majira , pia namna ya kuwasilisha ujumbe kwa makundi yote , ndo maana nikasema kulikuwa na option ya kutokuhudhuria pia ,
Kuliko kugawa wafuasi wenu
,Hadi matangazo ya bia yamewazidi akili namna ya kuwasilisha ujumbe,
Fuatilia uone wanafikisha ujumbe kwa namna ambayo makundi na timu zote wanaupokea bila kukwazika
Wakati mwingine jipangeni
Namna kutoa ujumbe kwa wote au tafuteni ushauri kwanza hamjui kila kitu
Yaani wewe ndio utufundishe sisi !
 
Yaani wewe ndio utufundishe sisi !
Na hizi fikra za kwako za kudhani unajua kila kitu na hustahili kukoselewa
Zitakwamisha Mambo mengi
Ni za kukataliwa kwa nguvu ndani na nje ya chama kinachotarajiwa kuwa mbadala
Chama au taasisi yoyote inayotaka kukua na kuimarika iko tayari kukosolewa na kufundishika haijalishi ni nani
Cha msingi usahihi nguvu na ukweli wa hoja yenyewe
Ujinga ukiachwa unaweza kupevuka na kuwa upambavu ,ambao huutaki kukosolewa Wala kuelimika zaidi
 
Back
Top Bottom