Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Hauna ka video au ka picha kakionesha tukio la kuzuiliwa kuingia uwanjani.?
 
Chadema wajinga Sana ni form four failure wote hawana akili niambieni Nani mwenye akili Chadema
Hawa hapa
JamiiForums-1902187710.jpg
 
Narudia tena! Hivi CHADEMA MNA matatizo gani? Mukiachwa mumeogopwa, mkikamatwa mumeonewa! Hivi lipi jema kwenu?
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Makolo bwana, shida tupu!
 
Safi Sana kamanda wangu! Mungu akubariki Sana!
 
Walijaribu kuwazuia, baadaye naona wakaamua kupotezea au waliona aibu baada ya kuzongwa na wananchi.
Hizi akili walizotumia hawa wavaaji wa tisheti ni za dunia ijayo. Congole kwao. Yaani ile intelijensia ya Siro haikunusa kabisa hili tukio hadi watu wakatua uwanjani
 
Jeshi hili hili lililokuwa linawadhibiti CHADEMA kufanya mikutano leo linashindwa kudhibiti uvaaji wa fulana za katiba mpya au limeamua kuacha tu?
Mkiachwa mnasema polisi wameshindwa kidhibiti mkidhibitiwa mnasema hakuna demokrasia. Sijui mahitaji yenu ni nini hasa
Tatizo lá jeshi hilo halifanyi kazi zake zinazompasa kuzifanya kisheria bali hufanya kazi zisizomhusu.

Mbona ccm hawawazui kufanya shughuli zake bali huwalimnda?
 
Mnahamasisha vurugu kwa kuratibu vijana wajinga nyie mkiwa majumbani, kisha virungu vikitembea mnaanza kulialia.
 
Back
Top Bottom