Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Mnahamasisha vurugu kwa kuratibu vijana wajinga nyie mkiwa mbali, kisha virungu vikitembea mnaanza kulialia.

Vurugu gani? Acha maneno yasiyo na hekima. Kwa hivyo kuvaa fulana ya Katiba Mpya ni kosa?. Acha zako.
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Hawa ndio wameleta balaa la Simba kufungwa!! Ona hata sura zimejaa huzuni tupu!!
 
Mtoa mada unajidai unaijua sana PGO pia viwatu viwili hivyo ndio useme soja wameshindwa red balet unawajua vizuri walitinga kweli hapo wazee kazi chap wamemaliza.
 
Vurugu gani? Acha maneno yasiyo na hekima. Kwa hivyo kuvaa fulana ya Katiba Mpya ni kosa?. Acha zako.
Mpira sio kongamano la harakati, kama ni mashabiki na hawana nia ovu iweje waingie kwa pamoja na kukaa kikundi?
 
Huu ni ushamba tu nao...

Kuna vitu kwenye soka tukiviruhusu basi kuna siku tunaweza kuleta maafa halafu tukabaki tunaulizana tu...
 
Mtoa mada unajidai unaijua sana PGO pia viwatu viwili hivyo ndio useme soja wameshindwa red balet unawajua vizuri walitinga kweli hapo wazee kazi chap wamemaliza.
Kuhusu kuijua PGO hapana siijui , naibia tu kwa Kibatala
 
Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea Mchezo wa soka wa Yanga na Simba.

Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia uwanjani, wala haijulikani ni kifungu gani cha Katiba ya nchi walichokinukuu , au labda ni ukurasa gani wa PGO ulioandika jambo hilo.

Bali tunawapongeza Wananchi wa Mwanza kwa kulidhibiti Jeshi la polisi na kuhakikisha kila mwenye tiketi anaingia kutazama soka bila kubughudhiwa kutokana na mavazi yake mazuri ya kiheshima.

Pichani : Ni wananchi wa Mwanza waki enjoy soka baada ya kuruhusiwa na NGUVU YA UMMA kuingia uwanjani kutazama soka.

View attachment 2242410
View attachment 2242411
Kuna vitu ukiviacha sio tatizo kabisa ,ila jeshi letu la police hukomaa na vitu visivyo na msingi, na wanachadema tz nzima elewa mvutano wa ccm na Chadema umekua mtaji KWa watu wengi ,na wamepata utajiri mkubwa , so sio watamanio mgogoro wa ccm na Chadema ukiisha kirahis ,japo twasema hakuna makubaliano ambayo hayana tija , Kama nia zao nzuri tuendelee na mazungumzo Kama hamna basi sie ni kulala mbele
 
Huo uzi umetulia sana
 
bila chadema polisi watakula overtime zipi? na sahizi zimeongezwa watafurahi sana
 
Back
Top Bottom