CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Kigoma kusuniKafulila kagombea Jimbo gani?
Vitu vyote ni vya maanaYaani sasa akili zimewaruka, na kuwafanya kuwa vichaa haswa!
Kuna kitu gani hapa cha maana, kwenye mada hii cha kujadili?
HajagombeaKafulila kagombea Jimbo gani?
haahha ni sisi au weweYaani sasa akili zimewaruka, na kuwafanya kuwa vichaa haswa!
Kuna kitu gani hapa cha maana, kwenye mada hii cha kujadili?
NitakuwepoView attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
tvs pia zitaoneshaNitakuwepo
nitakuwepo aiseEneo jirani na daraja la Busisi kwa nini isiwe satellite town ikapimwa na kupangwa vizuri? Billions zimelala pale si vyema ikawa skwata.
Kwa nini mwanza haina public beaches?
KwaniniHajagombea
Kabisa, njia mojawapo ya kurejesha bilioni 700 ni kulipanga na kulipima eneo la Kigongo Busisi itengenezwe Capri point ndogo au kubwa. Hotels, Industrial parks, residence kali kuanzia Usagara-Nyegezi-kuelekea Sengerema.nitakuwepo aise
Nitakuwepo hii keshoView attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
Hii Si ya kukosaNitakuwepo hii kesho
Natamani Kafulila apate mbabe wake kwenye hojaView attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
Jamaa anajua mpaka anakeraNatamani Kafulila apate mbabe wake kwenye hoja