Investigation Unit
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 394
- 403
Hawa wote matapeli tuView attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
View attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
Hao si ni wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm? Kesho kuna mkutano mkuu wa mabadiliko ya katiba. Watashirki vipi vikao viwili tofauti. Au wameshajua ni mabadiliko ya kihuni hivyo hawana muda wa kufuatilia?View attachment 3417376
View attachment 3418139
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo.
Mwanza mmebahatika msikosee,
Natamani Kafulila apate mbabe wake kwenye hoja
Kesho Kuna Mkutano Mkuu feki wa CCM .
Ngoja tuoneKabisa, njia mojawapo ya kurejesha bilioni 700 ni kulipanga na kulipima eneo la Kigongo Busisi itengenezwe Capri point ndogo au kubwa. Hotels, Industrial parks, residence kali kuanzia Usagara-Nyegezi-kuelekea Sengerema.
Nitafuatilia kupitia Tv. Naamini Watanzania wote watafuatilia kwa ukaribu sana na hakuna atakayejuta kutumia muda wake kufuatilia mjadala huo. hasa kwa kuzingatia uwezo mkubwa na kipaji cha kipekee alichonacho Mheshimiwa Kafulila katika Ujenzi wa Hoja.tvs pia zitaonesha
Wivu tu ndio unaokusumbua. Mkisikia jina La Mheshimiwa Kafulila Ma CHADEMA mnaanza kupata homa na kutetemeka kama wogonjwa. Maana mnajua kuwa hamumuwezi kwa hoja . Kwa sababu ninyi ni zero au waweza kusema sifuri kichwani mwenu.Utakuwa Kafulila mwenyewe unajipigia demu.hainingii akilini kuwa Kafulila ana chawa wake hapa jamii forum.
Kafulila ni Mwamba kwelikweli katika kujenga hoja. Ndio sababu upinzani wanamuogopa sana na kuliogopa sana jina la Mheshimiwa Kafulila. Maana wanajua yeye huongea na kuzungumza ukweli wenye ushahidi wa kisayansi na takwimu za kutosha na halisia. Tofauti na upinzani na wapinzani ambao wao kazi yao ni mimatusi na uropokaji tu.Natamani Kafulila apate mbabe wake kwenye hoja
AAAAAAHView attachment 3417376
View attachment 3418139
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
View attachment 3418612
View attachment 3417376
View attachment 3418139
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
View attachment 3418612Hii sio ya kukosa aisee
NitakuwepoView attachment 3417376
View attachment 3418139
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
View attachment 3418612
Salama Bwana LucasKafulila ni Mwamba kwelikweli katika kujenga hoja. Ndio sababu upinzani wanamuogopa sana na kuliogopa sana jina la Mheshimiwa Kafulila. Maana wanajua yeye huongea na kuzungumza ukweli wenye ushahidi wa kisayansi na takwimu za kutosha na halisia. Tofauti na upinzani na wapinzani ambao wao kazi yao ni mimatusi na uropokaji tu.
Alipohamia CCM utumbili wake ukaisha?Kafulila ni Mwamba kwelikweli katika kujenga hoja. Ndio sababu upinzani wanamuogopa sana na kuliogopa sana jina la Mheshimiwa Kafulila. Maana wanajua yeye huongea na kuzungumza ukweli wenye ushahidi wa kisayansi na takwimu za kutosha na halisia. Tofauti na upinzani na wapinzani ambao wao kazi yao ni mimatusi na uropokaji tu.
Samahani mkuu sikujua kama kafulila ni kijana wako.nimekosa mimi.Wivu tu ndio unaokusumbua. Mkisikia jina La Mheshimiwa Kafulila Ma CHADEMA mnaanza kupata homa na kutetemeka kama wogonjwa. Maana mnajua kuwa hamumuwezi kwa hoja . Kwa sababu ninyi ni zero au waweza kusema sifuri kichwani mwenu.