Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Ngoja upwiru umuishe atamuita my sweetheart husband unajua nakupendaga wewe hakunaga [emoji1787][emoji1787]wanawake bana they are talkative wana matusi yote unayoyajua na usiyoyajua ndiyo defensive mechanism zao
Utajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".
Ukijitunza mume, mkeo atalindwa katika kivuli cha Mungu.
 
Picha linaanza we unajipitia zako, jamaa anakula ugali... halafu akakuita "We sista njoo!"

Umeitwa kama mfungwa au wale wadada wauza mihogo, karanga mbichi na nazi kwenye mabeseni huku Dar... Haya ukaenda kufika anakusemesha kama polisi eti...

"Unaenda wapi?! Unaitwa nani?! Unaenda kumuona mtoto?! Hujakaa sawa... "nipe namba yako" ukajionesha wazi wewe ni mdhaifu kwa majibu yako uliyoyaandika hapo juu, jamaa akachukua simu yako akajibipu... yaan mtu anachukua simu yako dahh! Ndomana mnaporwaga mnabaki kulia kama ndama! Simu ni privacy ya mtu, jamaa kadiriki kukupora na kuandika namba yake... sijui tangu mwanzo ume-notice mambo ngapi hapa 😊😊😊

Kufika anakupigia masimu na kukuuliza mavitu kama wewe ni mkewe au tayari kashakukojolea vya kutosha! Bado anaendelea kupiga masimu na unaona mtu hapokei, huwezi jua yuko mazingira gani, au yuko na nani na anafanya nini...

Hakuna ulicho-notice bado unaombwa meeting na stranger usiyemjua kutoka mkoa mwingine uko na mawazo ya kutoroka ukaonane nae. Anyways! Kwa harakaharaka nime-note yafuatayo:-

1. UNA NYEGE

2. HUJIELEWI NA THAMANI YAKO HUIJUI

3. NI RAHISI KUTAWALIWA NA KUTESEKA AU KUTESWA NA MWANAUME

4. UNAAMINI WATU KIURAHISI SANA!

5. UNAFIKIRI KWA MITA MOJA.
 
Haya mahubiri mkawahubirie na wake zenu, chefuuu
 
Utajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".
Ukijitunza mume, mkeo atalindwa katika kivuli cha Mungu.
Wapo wanaume wanajitunza na wanawake wanawasaliti, hapo unasemaje?
 
Watakatifu wa watakatifu,😂😂 acheni tuipe kitu roho inapenda
 
Utajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".
Ukijitunza mume, mkeo atalindwa katika kivuli cha Mungu.
You and me we dont have any cruel hao watu wanapitia yapi, siajabu ukichimba sana ukajua unaweza shangaa mwanamke ndiyo anatoka sana nje ya ndoa wewe, sasa hatujui ya kwao ila sisi tunapamba na Ironbutterfly ambaye sasa tupo nae hapa kuwa hilo analotaka kufanya sio sahihi, wewe unaona ni sahihi? ... Shida wanawake huwa mnapenda kuhisi vitu visivyo na ukweli mfano mume akichelewa kutoka kazini utaanza kuwaza ana mwanamke ameenda kumla sasa ubongo unahisi hisi tu sasa hizo fikra hasi kwanini usimuwaziee mumeo chanya
 
Wanaume tuombe Mungu tusije tukaoa Malaya
Hii ni shida unachapiwa hadi kwa wazazi wako.
 
Kama haucheat amini uko salama, na akicheat...Mungu Kwa njia zake atakufunulia....niamini Mimi.
Una evidence yeyote? Ili nianze kuamini. Maana hii stori imeniwazisha kinyama. Alafu mi sinaga mpango wa kusearch simu yake wala kumfatilia.

Alafu sina mpango wa kumcheat kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…