Kama bwege kweli asiseme🤣🤣🤣, Afu Div unaonekana umeumia sana, imekutouch mno hii story.....relaax.Kwanza kamuita mumewe ni bwege, hujaiona ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama bwege kweli asiseme🤣🤣🤣, Afu Div unaonekana umeumia sana, imekutouch mno hii story.....relaax.Kwanza kamuita mumewe ni bwege, hujaiona ama?
Nataka niibue kazi ya dharura ofcn,afu narudi jioniUnawaaga unaenda wapi?
Utajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".Ngoja upwiru umuishe atamuita my sweetheart husband unajua nakupendaga wewe hakunaga [emoji1787][emoji1787]wanawake bana they are talkative wana matusi yote unayoyajua na usiyoyajua ndiyo defensive mechanism zao
Ulimisika tu mremboKuna nn tena jamani mbona mnanistua
Shikamoo😙Ulimisika tu mrembo
Kaka umekuja leo mjini? Hebu niache mieDuh hadi wewe? Si ulisema kuwa mtoto wa mamamkwe alikubadilisha dini, leo unamsema kuwa huridhiki.
Ndo maana Paulo hakuoa.
Haya mahubiri mkawahubirie na wake zenu, chefuuuMwanaume mmoja asipokutosha inawezekana umeshamkinia au ... Your thoughts already underlined those words mwanaume mmoja hatoshelezi and you will never be satisfied utarukaruka kila mahali na utampa anaetaka, kuwa mwangalifu na maneno yako bcoz your body doesn't know the difference
Ujue kwa sisi ambao hatucheat , ukiona mwanamke anamcheat mtu, lazima uwaze,je mimi niko salama?Kama bwege kweli asiseme🤣🤣🤣, Afu Div unaonekana umeumia sana, imekutouch mno hii story.....relaax.
Wapo wanaume wanajitunza na wanawake wanawasaliti, hapo unasemaje?Utajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".
Ukijitunza mume, mkeo atalindwa katika kivuli cha Mungu.
Watakatifu wa watakatifu,😂😂 acheni tuipe kitu roho inapendaHapana mimi siku zote napinga sana hizi harakati za upotoshaji hata wakina drake mimi naona bado tunayo nafasi yakusema ndoa ni sehemu sahihi, ndoa ina utukufu, ndoa ni mpango wa Mungu, ndoa sio hatua ndogo kimitazamo ya kawaida bali ni kubwa sana na mnatakiwa mjikane nafsi zenu mkitaka ndoa, maana shetani anapinga ndoa na anawachapa wanandoa sana msipoomba mtaingia majaribuni sana... Mkinifuata mnatakiwa mjikane nafsi zenu kauli nzito sana hiyo ila inabebwa kwa wepesi
Kama haucheat amini uko salama, na akicheat...Mungu Kwa njia zake atakufunulia....niamini Mimi.Ujue kwa sisi ambao hatucheat , ukiona mwanamke anamcheat mtu, lazima uwaze,je mimi niko salama?
Niko mjini muda tu, sema hii ni hatari sana.Kaka umekuja leo mjini? Hebu niache mie
You and me we dont have any cruel hao watu wanapitia yapi, siajabu ukichimba sana ukajua unaweza shangaa mwanamke ndiyo anatoka sana nje ya ndoa wewe, sasa hatujui ya kwao ila sisi tunapamba na Ironbutterfly ambaye sasa tupo nae hapa kuwa hilo analotaka kufanya sio sahihi, wewe unaona ni sahihi? ... Shida wanawake huwa mnapenda kuhisi vitu visivyo na ukweli mfano mume akichelewa kutoka kazini utaanza kuwaza ana mwanamke ameenda kumla sasa ubongo unahisi hisi tu sasa hizo fikra hasi kwanini usimuwaziee mumeo chanyaUtajuaje huyo mumewe labda Yuko kwenye kifua cha mtu huko? Huwa naamini "in every action there is equal or opposite reaction".
Ukijitunza mume, mkeo atalindwa katika kivuli cha Mungu.
Wanaume tuombe Mungu tusije tukaoa MalayaHabari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya[emoji108].
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.[emoji1787]
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Bado hujathema,Niko mjini muda tu, sema hii ni hatari sana.
Una evidence yeyote? Ili nianze kuamini. Maana hii stori imeniwazisha kinyama. Alafu mi sinaga mpango wa kusearch simu yake wala kumfatilia.Kama haucheat amini uko salama, na akicheat...Mungu Kwa njia zake atakufunulia....niamini Mimi.
Ok, kila la heri, usisahau condom.Nataka niibue kazi ya dharura ofcn,afu narudi jioni