Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Vipi ile Familia ilifanikiwa kukutolea mahali?
 
Nashukuru kwa kunipa moyo huenda mambo yakawa mazuri kweli huko mbeleni, lakini as of now hali yangu kiuchumi ni mbaya. Mikeka leo ikichanika sijui itakuaje

Atakua ndio anajiandaa, maana naona yupo busy sana
Mimi nakukubali sana shem kama shem,ndugu yetu kakuchora tatoo.....na tatooo .....Nakutakia upate mipesa mingi maana huyo bibie anapenda pesa kama kazaliwa benki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…