Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Paleka akushone palipochanika,ivi kunawatu mnamipango ya kuoa kweli.
 
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba


We ni maharage ya Mbeya full stop
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ